Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

Kafulila Ni mchumia tumbo tuu.. alichokuala kimemtosha apishe wengine. Sipendi kiongozi anayependa kusifia tuuu, ujue mwizi au ajiamini ktk nafasi yake. Muda SI mrefu utamwona ktk matv kumsifia mama. Mama apendi kusifiwa anataka kazi.
Tatizo la jf ni kutofahamiana, ningekujua wewe nikalinganisha na comment yako hii daaah,
 
Ila tukiacha roho mbaya Rais Samia anahitaji pongezi kwa kila mzalendo, Mama yuko vizuri mno
 
Kafulila Ni mchumia tumbo tuu.. alichokuala kimemtosha apishe wengine. Sipendi kiongozi anayependa kusifia tuuu, ujue mwizi au ajiamini ktk nafasi yake. Muda SI mrefu utamwona ktk matv kumsifia mama. Mama apendi kusifiwa anataka kazi.
Mama hapendi kusifiwa anataka kazi, in Sukuma gaung's voice
 
Kuchumia tumbo ni dhambi? Kwanini Tanzania hatupendi watu wazuri?
Kafulila Ni mchumia tumbo tuu.. alichokuala kimemtosha apishe wengine. Sipendi kiongozi anayependa kusifia tuuu, ujue mwizi au ajiamini ktk nafasi yake. Muda SI mrefu utamwona ktk matv kumsifia mama. Mama apendi kusifiwa anataka kazi.
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…