TaiPei
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 572
- 608
Mhhh Jesca tena 🙂Yanamchukia sababu ya uchawa tu.
Kwani wananchi hatuoni na kujua anachojaribu kufanya?
Kashindwa kumjenga Jesca wake ajenge mkoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh Jesca tena 🙂Yanamchukia sababu ya uchawa tu.
Kwani wananchi hatuoni na kujua anachojaribu kufanya?
Kashindwa kumjenga Jesca wake ajenge mkoa?
Hawahitaji kusikia waliopo huko wanajua tuBila kusikia wataaminije?
Labda kwa Nchi zenye watu wanaojielewa maana uteuzi unaupata labda kwa qualifications uliyonayo hapa bongo uteuzi unaupata kwa kumuabudu mteuaji tu Sasa Kuna maana yoyote?Unadhani "UTEUZI " ni jambo baya?
Yani kila anayemtetea Mhe Rais basi anataka uteuzi, shame on you
Wivu ni mbaya SanaHawahitaji kusikia waliopo huko wanajua tu
Daah, Sijui kama unajua unachosema we ChademaAnasifia ili ateuliwe tena wala haitoki moyoni
Kwamba upinzani tupa kule😂Labda ungesema tu maneno aliyoyasema KAFULILA ni kweli au sio kweli,
SIKILIZA JAMAA,
Sasa kama upatikanaji wa Maji Simiyu umepanda kutoka 56% hadi 73% na huu ni mwaka mmoja tu, JE UNATAKA MTU ASISEME KISA KATUMBULIWA?
Sasa kama Rais samia amepeleka 400BL UNATAKA MTU ASISEME KISA KATUMBULIWA?
Sasa kama Mama kaongeza bei ya Pamba mpka tsh 1,800 toka tsh 800 mwaka wa juzi UNATAKA MTU ASISEME KISA KATUMBULIWA?
KAFULILA GO,
HUYU MAMA ANAFANYA MAMBO MAKUBWA SANA ILA TU MENGI HAYASEMWI
UPINZANI TUPA KULE 2025
Unatuchelewesha Sana Upinzani huu uchwaraKwamba upinzani tupa kule😂
Muulize mama yake.Kwanini sasa katumbuliwa?
Amesema anawapeleka maeneo mengine we CHADEMA wivu utawauaMuulize mama yake.
Awapelekwe tu hakuna anayepinga.Amesema anawapeleka maeneo mengine we CHADEMA wivu utawaua
😍Awapelekwe tu hakuna anayepinga.
anayepinga
Kwa hiyo yote hayo kafanya Samia ndani ya mwaka mmoja?Kama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila
Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Hebu angalia hii ni kazi ya Rais Samia kwa mkoa mmoja tu Simiyu ,
Yule anayebisha Rais Samia kiboko yao anashida kubwa ya akili
Pamoja na hayo yote katumbuliwaIvi kweli, Kafulila ni maneno matupu?
1. Kuvunja mkataba na CHICCO baada ya kuteengeneza barabara chini ya kiwango na kuokoa fedha za serikali 15bilioni ni maneno matupu haya?
2. Ivi kweli kuzui michomoko iliyoua maelfu Tanzania ni maneno matupu?
3. Ivi kweli Kuongeza bei ya pamba toka 800/kg mpaka 1,800/kg haya ni maneno matupu?
4. Ivi kweli kukamata wezi wa Pamba na kuwafunga na wengine kujinyonga ni haya ni maneno matupu?
5. Kumnyang'anya kada wa CCM yaani MNEC soko la madini alilolimiliki kinyume cha sheria haya ni maneno matupu?
Let's be serious guys Kafulila ni asset kwa Taifa letu,
Ova.
Ndio Kafanya hayo yote tena ni ndani ya mwaka mmoja tuKwa hiyo yote hayo kafanya Samia ndani ya mwaka mmoja?
No, anapelekwa maeneo mengine kwa maelezo ya Mama.Pamoja na hayo yote katumbuliwa
Lazima asifie anaweza kukumbukwa siku zijazo
Chama kilichoshinda uchaguzi ni CCM na Ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM,ILANI YA CCM 2020/25
Ni wewe huyohuyoAmeimba pambio CM 1774858 au Kafulila hapo?
Hivi Kafulila ni mwanaccm?Kafulila maneno mengi kuliko matendo
Labda ateuliwe nafasi za kwenye chama