Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

Kusifu, kukosoa na kuelekeza yote ni mambo mema kwa binadamu sahihi
 
βœ”οΈπŸ™πŸ˜
 
Ilani ya Nani ?

Huyu kuwa mpinzani alikuwa anapinga itikadi au Watu ?

Kweli Siasa full Usanii especially Bongo Chama ni Platform tu ya kuweza kwenda kupata ulaji na sio sehemu ya mawazo mbadala
ILANI YA CCM 2020/25
 
Machadema yanamchukia Kafulila kisa kumsemea mama vizuri, majaa hayapendi Sana yanataka yamtukane na asiwepo mtetezi
Yanamchukia sababu ya uchawa tu.
Kwani wananchi hatuoni na kujua anachojaribu kufanya?
Kashindwa kumjenga Jesca wake ajenge mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…