Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
apewe ubunge then uwaziri huyu mtu ni msaada Sana kwa chamaHuyu jamaa ukuu wa mkoa haumfai level yake ni ya uwaziri au unaibu
Sasa RAS na RC wapi na wapi binti?!!Kaz ipo huyu aliaacha uras amekuaj kupiga debe
😂😂😂Alizingua nini sasa hadi akazinguliwa!?
Huyu hata kabla akiwa RC yeye alimsemea vizuri Sana Rais SamiaHuyu anatoa sifa ili apate teuzi nyingine.Tumbili ni mjanja sana.
Who! David Kafulila? Huyu anaye Mungu na ndio anayemsimamia kwaaliyoyafanya Simiyu ni hatari tupuMfa maji haachi kutapatapa
Njaa Kali Sana aliachana na mke wake kisa siasaKama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila
Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Hater 🤣Sasa akaungane na covid 19 kule Ufipa st
Unajua maana ya vyama ? Ni kwamba kuna utofauti wa kifikra na jinsi ya kufanya mambo..., sasa kama unaona ilani ya jirani yako ni nzuri na ndio inapaswa itekelezwe unafanya nini huko pengine ? , Si ujiunge tu ili mkamilishe kile kinachofanyika kama sio mbadala unless otherwise ni kama nilivyosema hivi vyama ni platforms za watu kutafuta ulaji wala sio mkusanyiko wa watu wenye fikra mbadalaJaribu kuchungulia wenzetu pale Kenya, Vyama is nothing but a Nation
Usicheze na kasi ya Rais Samia mjombaUongozi mwaka mmoja uvunje rekodi ya miaka 20
Nyooooo
Anapalilia uteuzi mwingine huyu.
Usicheze na kasi ya Rais Samia mjomba
Wewe jamaa una ID nyingi zinazokupamba mno mitandaoni.Usicheze na kasi ya Rais Samia mjomba
Napambwa na nani?We jamaa una ID nyingi zinazokupamba mno mitandaoni.
Kwanini unafanya mambo ya kijinga hivi??
Kuna ID sita zinampamba Kafulila hapa JF.Napambwa na nani?
Soma vizuri, Anapambwa Rais Samia Suluhu Hassan au David Kafulila?Kuna ID sita zinampamba Kafulila hapa JF.
Ikiwemo na ya kwako.
Mnaweza acha huo ujinga wenu??
Kafulila mbona anasemwa kwa mazuri kila kona ya TanzaniaKuna ID sita zinampamba Kafulila hapa JF.
Ikiwemo na ya kwako.
Mnaweza acha huo ujinga wenu??