Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

Kaz ipo huyu aliaacha uras amekuaji kupiga debe
 
Jaribu kuchungulia wenzetu pale Kenya, Vyama is nothing but a Nation
Unajua maana ya vyama ? Ni kwamba kuna utofauti wa kifikra na jinsi ya kufanya mambo..., sasa kama unaona ilani ya jirani yako ni nzuri na ndio inapaswa itekelezwe unafanya nini huko pengine ? , Si ujiunge tu ili mkamilishe kile kinachofanyika kama sio mbadala unless otherwise ni kama nilivyosema hivi vyama ni platforms za watu kutafuta ulaji wala sio mkusanyiko wa watu wenye fikra mbadala
 
Uongozi mwaka mmoja uvunje rekodi ya miaka 20

Nyooooo

Anapalilia uteuzi mwingine huyu.
 
Back
Top Bottom