OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 644
- 478
Si ungetulia basi wakati ukisubiri huo 'uteuzi' mwingine'.
Huyu Kafulila ni wa hivihivi, tangu hajateuliwa, kateuliwa, kaondolewa jamaa yuko positive Sana kwa Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ungetulia basi wakati ukisubiri huo 'uteuzi' mwingine'.
Huyu Kafulila ni wa hivihivi, tangu hajateuliwa, kateuliwa, kaondolewa jamaa yuko positive Sana kwa Rais
Mimi pia ni KafulilaID zako mwenyewe
Kwamba sisi ni wageni Tz hatumjui sio?Huyu Kafulila ni wa hivihivi, tangu hajateuliwa, kateuliwa, kaondolewa jamaa yuko positive Sana kwa Rais
I can see! Inaonekana wewe na Rais ni dugu moja! Kwani umejua kuwa Lazima Kafulila apewe nafasi ya juu!Acha uchonganishi, Kafulila lazima apewe nafasi ya juu, ameonesha uwezo mkubwa Sana
CHADEMA mnanongwa Sana nyie, Kwani Kafulila ni wakwanza kutumbuliwa,nimekubali kwamba UCHAWA huwa haudumu !! pole kamanda - mbolea imeshuka bei twende tukapige kazi Kigoma kusini, kule kuna ardhi swaafi.
HANA LOLOTE NI NJAA ANAMSIFIA ILI APATE TEUZIKama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila
Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Hebu angalia hii ni kazi ya Rais Samia kwa mkoa mmoja tu Simiyu ,
Yule anayebisha Rais Samia kiboko yao anashida kubwa ya akili
Wakati anawaapisha RC na RAS wapya alishasema hawa anawapeleka maeneo mengine,So niuhakikaI can see! Inaonekana wewe na Rais ni dugu moja! Kwani umejua kuwa Lazima Kafulila apewe nafasi ya juu!
Nyie CHADEMA mbona mnamsifia Mbowe kama Mungu amewapa nini?HANA LOLOTE NI NJAA ANAMSIFIA ILI APATE TEUZI
Maneno nyingi canyoning kazi.Ivi kweli, Kafulila ni maneno matupu?
1. Kuvunja mkataba na CHICCO baada ya kuteengeneza barabara chini ya kiwango na kuokoa fedha za serikali 15bilioni ni maneno matupu haya?
2. Ivi kweli kuzui michomoko iliyoua maelfu Tanzania ni maneno matupu?
3. Ivi kweli Kuongeza bei ya pamba toka 800/kg mpaka 1,800/kg haya ni maneno matupu?
4. Ivi kweli kukamata wezi wa Pamba na kuwafunga na wengine kujinyonga ni haya ni maneno matupu?
5. Kumnyang'anya kada wa CCM yaani MNEC soko la madini alilolimiliki kinyume cha sheria haya ni maneno matupu?
Let's be serious guys Kafulila ni asset kwa Taifa letu,
Ova.
Tatizo lenu nyie Ufipa FC hampendi kumsikiliza Rais,I can see! Inaonekana wewe na Rais ni dugu moja! Kwani umejua kuwa Lazima Kafulila apewe nafasi ya juu!
Sasa unaonaje kuhusu 400b za maji ya kutoka Ziwani hadi Simiyu, hili si jambo jema?Maneno nyingi canyoning kazi.
Mama mama mama kila kukicha.
Mmewaacha mama zenu wapi???
Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
Katiba mpya ya nini?Katiba mpya ndio dawa
400BILI Simiyu maji na SamiaSasa unaonaje kuhusu 400b za maji ya kutoka Ziwani hadi Simiyu, hili si jambo jema?
Umesikia Rais kaokoa fedha za Kitanzania Trilioni tatu hili ni jambo baya,
😂😂😂Porojo ni kwa Chadema sio Watanzania mzeePorojo hazitomsaidia chochote
Njoo usifie na wewe uvukeSi
Sifa tz hii ndo zitakuvusha tu , anajua vizuri Kafulila halifanyalo
Taifa letu lahitaji kutibiwa kutoka mawazo duni ya kujipendekeza ili kutibu njaa zenu endelevu.Katiba mpya ya nini?
Kwanini msianze na hiyo yenu inayomwacha Mbowe kuwa mkt miaka 30,
CHADEMA UZENI TU HICHO CHAMA MGAWANE MTAKACHOPATA
Izo atua tumeisha vuka , wewe hujui Kuna kipindi usipo kuwa makini teuzi lazima zikutoe ufaham? Yani unatoa ubongo unauweka nje, hivi mbona Mh Mtaka WENDA akawa mkuu wa Mkoa bora tz, na level aliyonayo hastahili kuwa mkuu wa Mkoa bali anatakiwa kuwa WAZIRI, lakin pia Kama Taifa Kama tunalea viongonzi wa badae KWA nafasi za juu, hata Urais anafaa ,why sio mtu wa kujikomba Sana, FANYA KAZI mtateuliwa, ila sio sifa za ajabu so what!Njoo usifie na wewe uvuke
Haswa
Nenda kafanye research uje utuambie kati ya wanachama wa CHADEMA na Wale wa CCM, Ni wepi wananjaa kaliTaifa letu lahitaji kutibiwa kutoka mawazo duni ya kujipendekeza ili kutibu njaa zenu endelevu.