Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Unajua nini kuhusu loliondo na Ngorongoro zaidi ya kulishwa matango pori na propaganda za wakenya we muhuni?Hizi propaganda za kizee bado mnaamini zinaweza kuwateka watu? Mnaamini hatujui lolote kuhusu Loliondo, hivyo mnadhani mkitulisha huu uchafu ndio tutapotea maboya!
Kama unajua lolote nope uthibitisho hapa sasaivi wa Ngorongoro na Loliondo kupewa mwekezaji. Weka ushahidi hapa jina la huyo mwekezaji, mkataba aliousaini na malipo qliyoyafanya.
Tufunge uzi!