Hatimaye dawa ya Kenya kukwamisha Maendeleo Tanzania imepatikana rasmi!

Hatimaye dawa ya Kenya kukwamisha Maendeleo Tanzania imepatikana rasmi!

Shida sio wewe! Shida ni akili yako na upeo wako! kukosa kwako exposure unashindwa hata kuelewa dunia inaendaje

Kwa taarifa yako hakuna cha bahati mbaya duniani! Kila nchi inafanya umafia kwa faida yake. Hakuna kitu cha bahati mbaya
Sasa kama unajua jiran yako ni mafia na wewe si umfanyie umafia

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi pekee wa Tanzania aliyewahi kuwashinda wakenya mpaka wenyewe wakasanda ni John Pombe Joseph Magufuli.. Yule bwana aliwapelekesha wakenya mpaka wakaanza kumuimba kwao Huko.. Japo naye aliwezwa kisawasawa na kagame
Nakubaliana kuhusu kuwaweza wakenya ila hilo la kugame kumuweza magufuli hakuna kitu kama hicho. Kagame aliishia wivu tu maana hapendi kuona kiongozi mwingine wa kiafrika akipewa sifa kuliko yeye.
 
Nadhani humjui Samia! Magufuli aliwapa show ya wazi wazi , Samia anawapa show ya kimya kimya

Juzi tu Samia kapeleka balozi kumwakilisha kwenye kikao kilichoitishwa na Mwenyekiti wa EAC Uhuru Kenyata. Ile ni meseji moja kubwa sana!
Kususa ndio kuwaweza? Mgogoro kwani ni wa wakenya ule.
 
Wewe ni Mkenya na upo Kenya

Huwezi kuwa Mtanzania kama unaunga mkono huu upuuzi unaofanyika dhidi ya Tanzania
Huna lolote. Kwani wakenya waliwashikia bunduki. Kutojua kwenu mambo ndio tunafika huku. Bwawa la nyerere linatakiwa lizlishe MW 2115 mumeliacha, sasa hapa utalaumu wakenya mkikosa umeme wa uhakika
 
Lugha ya kijinga ssna hii. Wakenya wanakukwamisha wapi. Lugha hii ilitumika sana kipindi Cha kuteka watu.

Huu ni ujinga badala ya kutekeleza mipango yenu mnaisingizia Kenya.

Pumbafu
 
Tusisahau 1. mradi wa HOIMA,Etibwanaharakati hawavuki hata 20 wameandamana kupinga mradi mbele ya ofisi za mwekezaji ,nae anajitoa.
2.bandari yetu wamenunua share kubwa maesk na kuwataka wateja kutumia bandari ya mombasa kuexport mizigo yao.
 
Thread ya kijinga kama mleta mada alivyo.
 
Back
Top Bottom