Kwahiyo samia anayo akili hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] your very [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Magufuli alipambana nao ila alitumia sana nguvu kuliko akili
Naona somo limekuingia. Tulia sasa na jifunze kusimamia maslahi mapana ya nchi yakoTulia muimba mapambio, hata ukipewa utasaidia nini?
Ukielewa diplomasia ya uchumi huwezi kuandika huu upuuzi ulioandika hapaNashangaa wanamsifu chifu mavi wakati ni majuzi tu alikuwa anatukana JPM kuhusu misimamo yake na kenya huyu chifu mafii hana mwelekeo wowote ni wapumbavu tu wanaoweza kumuelewa
Kwako uzalendo ni kuwa zezeta kutetea kila kitu mpaka cha kijinga.Wewe ni Mkenya na upo Kenya
Huwezi kuwa Mtanzania kama unaunga mkono huu upuuzi unaofanyika dhidi ya Tanzania
Kutetea maslahi ya sekta inayochangia asillimia 17-23 ya pato la Taifa na fedha za kigeni isife kwa maslahi ya Kenya ni ujinga??Kwako uzalendo ni kuwa zezeta kutetea kila kitu mpaka cha kijinga.
Kagame???Kiongozi pekee wa Tanzania aliyewahi kuwashinda wakenya mpaka wenyewe wakasanda ni John Pombe Joseph Magufuli.. Yule bwana aliwapelekesha wakenya mpaka wakaanza kumuimba kwao Huko.. Japo naye aliwezwa kisawasawa na kagame
Samia ana akili tena nyingi sanaKwahiyo samia anayo akili hata moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] your very [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Uzi umekushinda sana uwezo! Nenda jukwaa la mahusiano tuSiku zote mambo yakikushinda unatupia lawama wengine, Tanzania kila tukishindwa kitu lawama kwa wakenya sio sawa lazima tujitathmini
Insha ndeefu kumbe hoja ni kumpongeza HangayaTangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili
Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara tu baada ya Tanzania kutangaza kufuata mrengo wa kijamaa hapo mwaka 1967 na kilichofuata baada ya hapo ni vita vya ujasusi baina ya mataifa haya 2
Katika vita hii, Kenya waziwazi aliunga mkono watu waliokuwa either wanataka Tanzania isitawalike au waliokuwa wakizipinga serikali za Chama cha Mapinduzi.
Mfano tu:
Mwaka 1967 Kenya walitumika kumtorosha mpinzani wa 1 wa Nyerere aliyejitoa kwenye serikali Ndugu Oscar Kambona. Kambona baada ya kutofautiana na Nyerere alikimbilia Uingereza kupitia Nairobi
Mwaka 1981 Kenya walimtorosha aliyeongoza kikundi cha wanajeshi waliotaka kumpindua Mwl Nyerere ndugu Khatib Ghand
Kenya pia ilitumika kama njia ya kuwatorosha marubani walioteka ndege ya Tanzania kumlazimisha Nyerere kung'atuka
Baada ya Nyerere kuondoka na Kenya kutawala uchumi wa Afrika Mashariki , Kenya ilibadili mbinu za kuidhoofisha Tanzania na kuhamia kwenye mbinu za kudhoofisha mipango yote ya maendeleo ambayo inaweza kuifanya Tanzania ikawapiku kiuchumi
Njia kuu aliyotumia Kenya kudhoofisha mipango ya Maendeleo ya Tanzania ni siasa maana aligundua mambo yote ya kimandeleo ya Tanzania yanaamuliwa kisiasa
Kupitia siasa , Kenya alifanikiwa kudhoofisha miradi ifuatayo ya Tanzania na baada ya miradi iyo kukwama Tanzania akaenda kuifanya kwake
1. Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo
Njia kuu aliyotumia Kenya kukwamisha mradi huu ni kueneza propaganda kuwa Bagamoyo anauziwa mchina. Hoja hii ilifanya mradi huu ukakwama Tanzania na hatimaye Kenya akatengeneza Bandari kama hiyo Lamu tena kwa kupitiq mchina huyo huyo
2. Mradi wa Satellite City, Kigamboni
Kenya alijua kigamboni ikifanikiwa basi ndo itakuwa Dubai ya kwanza Afrika Mashariki na akatumia propaganda kuwa George Bush amenunua kigamboni na siasa ile ikasabisha Tanzania tushindwe kuwa nchi ya 1 ukanda huu kuwa na satellite city. Sasa Kenya ndo imekuwa ya 1 baada ya kuanzisha mradi wa Konza City
Sasa ugonjwa huu umepatiwa Dawa:
Kiukweli maraisi takribani 5 wa Tanzania kutokana na kuendekeza kuwa populist walishindwa kujinasua kutoka kwenye mbinu hizi za Kenya. Ni Samia Suluhu Hassan aliyejaribu na napenda kusema anaenda kufanikiwa kwa kuzishinda propaganda za Kenya kwenye hili suala la Loliondo/ Ngorongoro
Ni ukweli usiopingika kuwa sasa Kenya anahangaika usiku kucha ili aimalize sekta ya utalii ya Tanzania ambayo kiuhalisia ndo tishio kubwa zaidi kwa uhai wake kiuchumi ambao unategemea hasa kiutalii
Ndoto kubwa ya Kenya ni kuua uti wa Mgongo wa utalii wa Tanzania ambayo ni kaskazini mwa Tanzania. Ukiongelea kaskazini wa Tanzania unaongelea Loliondo, Ngorongoro, Serengeti na kilimanjaro bila kusahau Manyara.
Njia pekee anayotegemea Kenya kufanikisha hili ni kuhakikisha siasa inatumika ipasavyo ili shughuli za kibinadamu zisikome kwenye mbuga hizi maana kwenye shughuli za kibinadamu mnyama hakai na pasipo na mnyama basi mtalii hawezi kuja.
Katika suala la Ngorongoro/ Loliondo, Kenya kaja na propaganda ya kisiasa kuwa eneo lote lile anapewa mwekezaji hivyo Wamasai hawatakiwi kuwepo
Propaganda hii kusema kweli imefeli vibaya sana na kwa mara ya kwanza chini ya Rais Samia tumeona propaganda za Kenya zikishindwa na Serikali ikitekeleza wajibu wake kwa Maslahi mapana ya Taifa
Hongera Samia! Huo ndo mwendo wa kwenda, Kenya wametuchelewesha sana!
Loh! Inamaana ukiwa upande wa Wamasai unakuwa si Mtanzania, unakuwa si Mzalendo Kwa kuwapigania Watanzania wenzangu. [emoji38]Wewe ni Mkenya na upo Kenya
Huwezi kuwa Mtanzania kama unaunga mkono huu upuuzi unaofanyika dhidi ya Tanzania
Kweli hoja yake kubwa ipo kwenye mgogoro wa Loliondo na Ngorongoro basi. Huko juu amechemka na hajui. 1967 hakukuwa na CCM kulikuwa na TANU na ASP. CCM imezaliwa 1977.Hoja yake ya msingi (mpambano wa kiuchumi) ni ya msingi, lakini vikorombwezo alivyotumia kuijenga hiyo hoja vingi ni porojo na mambo ya kufikirika tu
Kwani Ccm imetokana na nini?Kweli hoja yake kubwa ipo kwenye mgogoro wa Loliondo na Ngorongoro basi. Huko juu amechemka na hajui. 1967 hakukuwa na CCM kulikuwa na TANU na ASP. CCM imezaliwa 1977.
unateseka ukiwa wapiInsha ndeefu kumbe hoja ni kumpongeza Hangaya
Loh! Inamaana ukiwa upande wa Wamasai unakuwa si Mtanzania, unakuwa si Mzalendo Kwa kuwapigania Watanzania wenzangu. [emoji38]
unateseka ukiwa wapi
unateseka ukiwa wapi
Insha ndeefu kumbe hoja ni kumpongeza Hangaya
Akili ndogo bana!!!Wameshikwa papaya safari hii! Hawana pq kutokea
Na hatua ifuatayo tunagawa vitambulisho vya uraia kwa Watanzania wote Ngorongoro na Loliondo! Mtu akiingia lazima aoneshe kitambulisho safari hii
WE ARE BLAMING KENYANS FOR OUR FAILURESTangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili