Sasa kama unajua jiran yako ni mafia na wewe si umfanyie umafiaShida sio wewe! Shida ni akili yako na upeo wako! kukosa kwako exposure unashindwa hata kuelewa dunia inaendaje
Kwa taarifa yako hakuna cha bahati mbaya duniani! Kila nchi inafanya umafia kwa faida yake. Hakuna kitu cha bahati mbaya
Halafu wanasingizia wakenya. Yaan Hawa jamaa wanatuona wajinga kweli.Miradi ya Bandari ya Bagamoyo na KIGAMBONI iliuliwa na Marehemu Mwendazake.
Nakubaliana kuhusu kuwaweza wakenya ila hilo la kugame kumuweza magufuli hakuna kitu kama hicho. Kagame aliishia wivu tu maana hapendi kuona kiongozi mwingine wa kiafrika akipewa sifa kuliko yeye.Kiongozi pekee wa Tanzania aliyewahi kuwashinda wakenya mpaka wenyewe wakasanda ni John Pombe Joseph Magufuli.. Yule bwana aliwapelekesha wakenya mpaka wakaanza kumuimba kwao Huko.. Japo naye aliwezwa kisawasawa na kagame
Kususa ndio kuwaweza? Mgogoro kwani ni wa wakenya ule.Nadhani humjui Samia! Magufuli aliwapa show ya wazi wazi , Samia anawapa show ya kimya kimya
Juzi tu Samia kapeleka balozi kumwakilisha kwenye kikao kilichoitishwa na Mwenyekiti wa EAC Uhuru Kenyata. Ile ni meseji moja kubwa sana!
Huna lolote. Kwani wakenya waliwashikia bunduki. Kutojua kwenu mambo ndio tunafika huku. Bwawa la nyerere linatakiwa lizlishe MW 2115 mumeliacha, sasa hapa utalaumu wakenya mkikosa umeme wa uhakikaWewe ni Mkenya na upo Kenya
Huwezi kuwa Mtanzania kama unaunga mkono huu upuuzi unaofanyika dhidi ya Tanzania
DuhSamia ana akili tena nyingi sana