Hatimaye Diamond anunua Private Jet

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbona viti kama vya noa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda ni mwalimu mzuri ngoja tuone siku akirejea nchini je atakuwa na emirate/ethiopia air line au private Jet yake?

Muda ni mtu mwaminifu sana
 
Wapuuzi nyie mmeona Hamo kaachia ngoma mmekuja na jambo lenu la kupoteza maboya
 
Private Jet sio makende kwamba kila mtu anayo!
Unazungumzia more than 30B cash money! Hio hela huyo ndugu yenu hana bana asitafute kiki za ajabu! Maintanace tu ya ndege inaitoa jasho serikali ndio atakuwa huyo fara from Tandale?
Umeongea!!🙌🏿✔️✔️✔️👊🏿 Ila kuna maboya watabisha!
 
Private Jet sio makende kwamba kila mtu anayo!
Unazungumzia more than 30B cash money! Hio hela huyo ndugu yenu hana bana asitafute kiki za ajabu! Maintanace tu ya ndege inaitoa jasho serikali ndio atakuwa huyo fara from Tandale?
Hahahah daah chalii angu umechafukwa.
 
Ile rolls Royce ikowapi kwanza maana decade sasa tangu mbwembwe itungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…