ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 642
- 967
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yeye kaona picha na neno Alhamdulillah, eti kapost diamond kanunua ndege.
Mashabiki bwana, au umesahau rolls royce waliwahi post picha ya gari wakiipandisha ndege ya mizigo kuwa inakuja tanzania kwa mteja, ikaanzishwa thread humu kuwa mteja ni diamond wakati hata jina la mteja hawakuwa wamelitaja. [emoji23][emoji23][emoji23] Mashabiki bwana