DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji23][emoji23][emoji23] Ali kiba fans hamtakagi showoffsMbona Ali Kiba anazo private jet mbili na mashabiki zake hatusemi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] Ali kiba fans hamtakagi showoffsMbona Ali Kiba anazo private jet mbili na mashabiki zake hatusemi.
* declareKutumia nguvu kubwa kuandika maendeleo ya mwenzako ili hali hata yeyet hajadeclear kihivyo huku unawananga wengine ni uchawa, halafu ni ushamba inawezekana hata 100,000 hapo mfukoni huna.
Vip mkuu akija nayo utatengua kauli boss ? 🙂Namuonaeaje wivu mtu kama Diamond mzee! Hilo naongea ukweli tu wala sio wivu. Hela hio hana kwa sasa labda akifika miaka 50 pengine atakuwa na hela hio...Akichange change kwanza
Kama atakodi ni sawa ila asiseme ni yake! Ushabiki usizidi uwezo wa kufikiriVip mkuu akija nayo utatengua kauli boss ? 🙂
Diamond ni kama mama ake tuIle rolls Royce ikowapi kwanza maana decade sasa tangu mbwembwe itungwe
Harmonize hawez kmfny mond kununua jet kisa nyimbo yake kununua ndg sio k2 kdg ko km kwel kanunua ni mipango ya muda alikua nayo, na aliwah kuongea kweny radio kua ana mpngo huo..Hahahaahaha attitude inamfanya mtu anunue private jet, ili awe kwenye vichwa vya habari, nikisema mumeo mpendwa anatembelea kiki tunakosea? Hatoi nyimbo, akiona harmonize ametoa nyimbo, yeye anatafuta kiki ya aina yoyote alimradi tu harmonize asisike, hatukujua kumbe harmonize ni tishio kiasi hiki, hahaha atitudeee msalimie mumeo nasibu !
Kwanza parking fee, sijui kukaa tu pale airport kwenye hangar siyo bure!Private Jet sio makende kwamba kila mtu anayo!
Unazungumzia more than 30B cash money! Hio hela huyo ndugu yenu hana bana asitafute kiki za ajabu! Maintanace tu ya ndege inaitoa jasho serikali ndio atakuwa huyo fara from Tandale?
Wanaongea kwa mahaba ya Dimondi ila in real sense ndege labda jamaa akodishe week auzie sura kisha airudisheKwanza parking fee, sijui kukaa tu pale airport kwenye hangar siyo bure!
Wasidhanie maintenance ya ndege ni bure, hadi juzi mama Samia kasema wataziondolea ATCL tozo mbalimbali, na uhakika zikiwemo parking fee za midege kuzubaa tu uwanjani, ikiruka inalipa, ikitua inalipa, ikipark tu inalipa.
Everyday is Saturday............................... 😎
Nyumba anayo? Achilia mbali hiyo ndege?Harmonize hawez kmfny mond kununua jet kisa nyimbo yake kununua ndg sio k2 kdg ko km kwel kanunua ni mipango ya muda alikua nayo, na aliwah kuongea kweny radio kua ana mpngo huo..
Ko ni kusubir tu ithibitishwe bas
Advocate Nimrod Mkono alipokuwa Mbunge alikuwa na private jet yake kiasi alikuwa anarudi jimboni kwake muda wowote kukitoea jambo.Nauliza tena hapa tanzania kuna mtu anamiliki private jet yake???
Na kama hamna basi jamaa kaweka historia isiyofutika milele .
Mimi niliuza ya kwangu kutokana na parking fees airport. teh! teh!teh! teh!teh! teh!teh! teh!teh! teh!Kwanza parking fee, sijui kukaa tu pale airport kwenye hangar siyo bure!
Wasidhanie maintenance ya ndege ni bure, hadi juzi mama Samia kasema wataziondolea ATCL tozo mbalimbali, na uhakika zikiwemo parking fee za midege kuzubaa tu uwanjani, ikiruka inalipa, ikitua inalipa, ikipark tu inalipa.
Everyday is Saturday............................... 😎
wafanyabiashara wa Arusha wenyewe wanajiita mabilionea wameshamiliki. Ila ni hutu tundege tunaitwa Cessina tuna injini moja pale puani mbele. Kuna kandege kengine kalimwua bilionea Bob sambeke hukohuko kaskazini.Nauliza tena hapa tanzania kuna mtu anamiliki private jet yake???
Na kama hamna basi jamaa kaweka historia isiyofutika milele .
Zile siyo private jets na tu ndege tu, kuna kamoja kalikuwa kakumwaga madawa shambani, inasemekana kituo ilikauza kwa shs laki 5 tu za kitanzania, ubadhirifu nchi hii haujawahi kupata shubiri yake.wafanyabiashara wa Arusha wenyewe wanajiita mabilionea wameshamiliki. Ila ni hutu tundege tunaitwa Cessina tuna injini moja pale puani mbele. Kuna kandege kengine kalimwua bilionea Bob sambeke hukohuko kaskazini.
Kuna jamaa mmoja anatokea Atlanta, Georgia anapendaga kusema live in private jet kwenye nyimbo zake huwenda na huyu msanii wetu anatokea Georgia kule wasanii wenzake wenye private jetPrivate Jet sio makende kwamba kila mtu anayo!
Unazungumzia more than 30B cash money! Hio hela huyo ndugu yenu hana bana asitafute kiki za ajabu! Maintanace tu ya ndege inaitoa jasho serikali ndio atakuwa huyo fara from Tandale?
Yes nakumbuka, ilikuwa mwaka 2013 ndege ya serikali iliuzwa kwa bei ya TECNO CAMON yaani laki tano.Zile siyo private jets na tu ndege tu, kuna kamoja kalikuwa kakumwaga madawa shambani, inasemekana kituo ilikauza kwa shs laki 5 tu za kitanzania, ubadhirifu nchi hii haujawahi kupata shubiri yake.
Everyday is Saturday............................... 😎
Kweli kabisa ina muonekano wa kawaida sana.....Mbona muonekano wa ndani hata Marangu coach inakimbiza