Hatimaye Diamond anunua Private Jet

Hatimaye Diamond anunua Private Jet

Kutumia nguvu kubwa kuandika maendeleo ya mwenzako ili hali hata yeyet hajadeclear kihivyo huku unawananga wengine ni uchawa, halafu ni ushamba inawezekana hata 100,000 hapo mfukoni huna.
* declare
 
Namuonaeaje wivu mtu kama Diamond mzee! Hilo naongea ukweli tu wala sio wivu. Hela hio hana kwa sasa labda akifika miaka 50 pengine atakuwa na hela hio...Akichange change kwanza
Vip mkuu akija nayo utatengua kauli boss ? 🙂
 
Hahahaahaha attitude inamfanya mtu anunue private jet, ili awe kwenye vichwa vya habari, nikisema mumeo mpendwa anatembelea kiki tunakosea? Hatoi nyimbo, akiona harmonize ametoa nyimbo, yeye anatafuta kiki ya aina yoyote alimradi tu harmonize asisike, hatukujua kumbe harmonize ni tishio kiasi hiki, hahaha atitudeee msalimie mumeo nasibu !
Harmonize hawez kmfny mond kununua jet kisa nyimbo yake kununua ndg sio k2 kdg ko km kwel kanunua ni mipango ya muda alikua nayo, na aliwah kuongea kweny radio kua ana mpngo huo..
Ko ni kusubir tu ithibitishwe bas
 
Private Jet sio makende kwamba kila mtu anayo!
Unazungumzia more than 30B cash money! Hio hela huyo ndugu yenu hana bana asitafute kiki za ajabu! Maintanace tu ya ndege inaitoa jasho serikali ndio atakuwa huyo fara from Tandale?
Kwanza parking fee, sijui kukaa tu pale airport kwenye hangar siyo bure!

Wasidhanie maintenance ya ndege ni bure, hadi juzi mama Samia kasema wataziondolea ATCL tozo mbalimbali, na uhakika zikiwemo parking fee za midege kuzubaa tu uwanjani, ikiruka inalipa, ikitua inalipa, ikipark tu inalipa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wanaongea kwa mahaba ya Dimondi ila in real sense ndege labda jamaa akodishe week auzie sura kisha airudishe
 
Harmonize hawez kmfny mond kununua jet kisa nyimbo yake kununua ndg sio k2 kdg ko km kwel kanunua ni mipango ya muda alikua nayo, na aliwah kuongea kweny radio kua ana mpngo huo..
Ko ni kusubir tu ithibitishwe bas
Nyumba anayo? Achilia mbali hiyo ndege?
 
Nauliza tena hapa tanzania kuna mtu anamiliki private jet yake???

Na kama hamna basi jamaa kaweka historia isiyofutika milele .
 
kuna siku tajiri Mo dewiji aliulizwa kwa nini ununui ndege ya kwako kwa ajili ya kutembelea ! "ukinunua ndege utaingia garama ambazo hata faida sina bora kupanda za abiria"
kwa nini alisema hivo.
 
Nauliza tena hapa tanzania kuna mtu anamiliki private jet yake???

Na kama hamna basi jamaa kaweka historia isiyofutika milele .
Advocate Nimrod Mkono alipokuwa Mbunge alikuwa na private jet yake kiasi alikuwa anarudi jimboni kwake muda wowote kukitoea jambo.
 
Kwanza parking fee, sijui kukaa tu pale airport kwenye hangar siyo bure!

Wasidhanie maintenance ya ndege ni bure, hadi juzi mama Samia kasema wataziondolea ATCL tozo mbalimbali, na uhakika zikiwemo parking fee za midege kuzubaa tu uwanjani, ikiruka inalipa, ikitua inalipa, ikipark tu inalipa.

Everyday is Saturday............................... 😎
Mimi niliuza ya kwangu kutokana na parking fees airport. teh! teh!teh! teh!teh! teh!teh! teh!teh! teh!
 
Nauliza tena hapa tanzania kuna mtu anamiliki private jet yake???

Na kama hamna basi jamaa kaweka historia isiyofutika milele .
wafanyabiashara wa Arusha wenyewe wanajiita mabilionea wameshamiliki. Ila ni hutu tundege tunaitwa Cessina tuna injini moja pale puani mbele. Kuna kandege kengine kalimwua bilionea Bob sambeke hukohuko kaskazini.
 
Zile siyo private jets na tu ndege tu, kuna kamoja kalikuwa kakumwaga madawa shambani, inasemekana kituo ilikauza kwa shs laki 5 tu za kitanzania, ubadhirifu nchi hii haujawahi kupata shubiri yake.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Private Jet sio makende kwamba kila mtu anayo!
Unazungumzia more than 30B cash money! Hio hela huyo ndugu yenu hana bana asitafute kiki za ajabu! Maintanace tu ya ndege inaitoa jasho serikali ndio atakuwa huyo fara from Tandale?
Kuna jamaa mmoja anatokea Atlanta, Georgia anapendaga kusema live in private jet kwenye nyimbo zake huwenda na huyu msanii wetu anatokea Georgia kule wasanii wenzake wenye private jet
 
Zile siyo private jets na tu ndege tu, kuna kamoja kalikuwa kakumwaga madawa shambani, inasemekana kituo ilikauza kwa shs laki 5 tu za kitanzania, ubadhirifu nchi hii haujawahi kupata shubiri yake.

Everyday is Saturday............................... 😎
Yes nakumbuka, ilikuwa mwaka 2013 ndege ya serikali iliuzwa kwa bei ya TECNO CAMON yaani laki tano.
 
Back
Top Bottom