Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kuna vitu tunalaumu lakini hata sisi tukipata nafasi hizo na wengine tunavijinafasi fulani fulani tunawabania na kuwapa ndugu zetu...........Amesaini mikataba mizito Sana huyu dogo.
Halafu Magu alikua na nepotism mno. Kila ndugu yake aliyekua anajua angalau kusoma na kuandika alimpa sehemu ambayo pesa haikauki.
Mbona dotto yupo wizara ya viwanda.Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.
Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.
Huyu hapa
View attachment 2937681View attachment 2937682
Mbereko illisha?Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.
Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.
Huyu hapa
View attachment 2937681View attachment 2937682
Bora kumjibu tu wakamwacha Salama. Akina Heri James walidiriki hata kunia kumchoma mtu sindano ya sumu na Jeshi la polisi lilikaa kimya.
Walikuwa miungu watu hao, wangeweza kumjibu mtu yeyote vyovyote watakavyo.
Wameuliza mbona haonekani?Mbona dotto yupo wizara ya viwanda.
Itakuwa alipigwa za uso kimya kimya maana na lile sakata la hela zilizopelekwa kule alipokuwaga balozi kairukiSijui ila aliadimika
Huwezi linganisha tamisemi na KM fedha mkuu.Mbona maza kaweka mkwe wake TAMISEMI?
Umeongea kweli mkuu.Kuna vitu tunalaumu lakini hata sisi tukipata nafasi hizo na wengine tunavijinafasi fulani fulani tunawabania na kuwapa ndugu zetu...........
Makosa mawili hayageuki kuwa ukweli (two wrongs do not make one right)Mbona maza kaweka mkwe wake TAMISEMI?
Kwa Africa ni ngumu hasa familia zetu zilivyo,mtu anampa kazi ili kupunguza utegemezi kwake,kama mtu anaqualify ni ngumu.....labda kama mtu kapewa nafasi na hana sifa.....wengi tunakosoa lakini ukweli ni kwamba hilo jambo haliwezekani........nina rafiki yangu soon baada ya kumaliza chuo tu,akaenda kuajiriwa BOT ,sababu ni baba yake kuwa senior paleUmeongea kweli mkuu.
IMejini wewe ndio yule ndg uliyependelewa na binamu, ukapewa u KM fedha, yaani unapiga mluzi wa shukrani kutwa😂
wewe unagusika mkuu?Doto na huyo Ngusa walikuwa hawagusiki enzi zao.
Kwani anatafutwa? Acheni ushamba nyie.Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.
Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.
Huyu hapa
View attachment 2937681View attachment 2937682
HAo majambazi walitaka kupindua nchiHatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.
Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.
Huyu hapa
View attachment 2937681View attachment 2937682
Naamini jpm alikuwa na ndugu walau sabaAmesaini mikataba mizito Sana huyu dogo.
Halafu Magu alikua na nepotism mno. Kila ndugu yake aliyekua anajua angalau kusoma na kuandika alimpa sehemu ambayo pesa haikauki.
Basi tulia watu watafune nchi kwanza mengine baadaeMakosa mawili hayageuki kuwa ukweli (two wrongs do not make ona right)
Hawa jamaa ndio walijigawia nchi na rasilimali zakeHatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.
Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.
Huyu hapa
View attachment 2937681View attachment 2937682
Anajiweza kwa lipi? Doto alikuwa anafuata maelekezo ya bosi wake hata kama ni wewe ungefuata hakuna namna, TAMISEMI wizi umeisha?Huwezi linganisha tamisemi na KM fedha mkuu.
Pili mkwe hajabebwa anajiweza sana
Wanadai alimnyonga kwa mikono yake mwenyewe na kumvisha jezi ya Chelsea kabla ya kumtundika mwili wake mtin maporini huko.Leopold lwajabe
Kamuulize mamakowewe unagusika mkuu?
Nchi kutafunwa inatafunwa siku zote kuaanza wwkati wa mkoloni, awamu ya 1 hadi ya sita. Kama huna meno ya kutafuna shauri yako.Basi tulia watu watafune nchi kwanza mengine baadae