Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

Amesaini mikataba mizito Sana huyu dogo.
Halafu Magu alikua na nepotism mno. Kila ndugu yake aliyekua anajua angalau kusoma na kuandika alimpa sehemu ambayo pesa haikauki.
Kuna vitu tunalaumu lakini hata sisi tukipata nafasi hizo na wengine tunavijinafasi fulani fulani tunawabania na kuwapa ndugu zetu...........
 
Umeongea kweli mkuu.
IMejini wewe ndio yule ndg uliyependelewa na binamu, ukapewa u KM fedha, yaani unapiga mluzi wa shukrani kutwa😂
Kwa Africa ni ngumu hasa familia zetu zilivyo,mtu anampa kazi ili kupunguza utegemezi kwake,kama mtu anaqualify ni ngumu.....labda kama mtu kapewa nafasi na hana sifa.....wengi tunakosoa lakini ukweli ni kwamba hilo jambo haliwezekani........nina rafiki yangu soon baada ya kumaliza chuo tu,akaenda kuajiriwa BOT ,sababu ni baba yake kuwa senior pale
 
Amesaini mikataba mizito Sana huyu dogo.
Halafu Magu alikua na nepotism mno. Kila ndugu yake aliyekua anajua angalau kusoma na kuandika alimpa sehemu ambayo pesa haikauki.
Naamini jpm alikuwa na ndugu walau saba

Hebu wataje hapa na vitengo walivyopewa vya hela?
 
Leopold lwajabe
Wanadai alimnyonga kwa mikono yake mwenyewe na kumvisha jezi ya Chelsea kabla ya kumtundika mwili wake mtin maporini huko.
FB_IMG_1710741298695.jpg


Coach Slamah Hamad
 
Back
Top Bottom