Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

Hata angekuwa nani ukishapata nafasi pachika nduguzo wa kutosha
 
Times change. It reminds me of conducting my affairs in a humble manner
 
Amesaini mikataba mizito Sana huyu dogo.
Halafu Magu alikua na nepotism mno. Kila ndugu yake aliyekua anajua angalau kusoma na kuandika alimpa sehemu ambayo pesa haikauki.

This was his weakness. Kuangalia upande mmoja tu. Otherwise alikuwa binadamu na kila binadamu ana issues zake
 
Labda alikuwa Copenhagen huko akicheza mbina! Maana Copenhagen ina mahusiano ya kibalozi na gwambina wa kisukuma! Hapa Copenhagen wasukuma wapo wengi sana ni wacheza ngoma za kisukuma(mbina)
Dah,

Umenikumbusha miaka ya 1980s kuna Msukuma alitoka Mwanza huko hata Dar hajawahi kufika alikuwa anachujua ndege kwenda Copenhagen kucheza ngoma, alikuwa hana sehemu ya kufikia Dar akafikia kwetu.

Kwa hivyo naweza kujubali maneno yako.
 
Lile lijamaa lilikuwa likabila na jizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…