bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,741
Habari waungwana..... Huu ndiyo muda muafaka wa kuwahama azam na kwenda kwenye full hd DSTV maana kifurushi cha Azam cha bei ya juu TSH 35,000 channel zake hazifikii kifurushi cha DSTV cha TSH 21,000.
Kwaherini Azam mlinifaa Sana kwa kipindi nilichokuwa nanyi na huu ndiyo muda rasmi wa kuwahama. Ndugu bakhresa usijisikie mnyonge maana bado tutaendeleea kushirikiana katika huduma zingine kama vile, unga wa maandazi, juici za ukwaju, mikate na kadhalika, Ila kwa upande wa king'amuzi kwaheri Mzee.
Wako katika ujenzi wa Taifa...
Bafetimbi