Hatimaye DSTV wakongwe wa digitali waachia local channels

Hatimaye DSTV wakongwe wa digitali waachia local channels

Hizo takwimu umetoka wapi na pia azam atabakia kuwa mnyonge mbele ya dstv Maisha yake yoote.

Kwanza Azam Yuko country wide wakati mwenzie dstv yuko all over the continent, vipi mpaka hapo bado hujajua nani mnyonge?

takwimu zinapatika kwa uuzwaji wa recever za azamu
 
Hata DSTV chini ya kifurushi cha 21000 hakuna kitu... Mimi nalipgiaga cha 31000 coz mimi kwenye TV napenda channel 3 tu, natgeo 181, 171 iDX na ile discovery nyingine wanaoneshaga mapigano ya robots. Azam pia hizi zote anazo
Lakini kwa mtu mpenzi wa movie hata hiki hakifai
Kifurushi kikali kabisa Dstv ni sh ngapi?
 
Kule mkoani kuna king'amuzi cha dishi cha azam hakiwaki, kimekorofisha. Hivi si ninaweza kwenda na cha dstv nikapachika tu pale! Waliopo nyumbani haina haja ya azam kwa sababu hawamjui hata mchezaji mmoja wa ligi kuu.
Hiyo DSTV ina channel za dini ya kristo?
Haiwezekani kwani Azam ipo angle ya 7e while dstv 36e pia kama ni channel za dini zipo za kutosha angle ya 68.5e dini yoyote unayoinua wewe duniani
 
Unajua mmekalili kauli za zamani Sana kwamba eti dstv ni ya washua wakati siku hizi sio kweli, nakwambia ukiingia dstv utajuta hivi ilikuwa wapi siku zote. Sasa we nunua hicho cha Azam cha 5000 uone channel zake kama hutazima TV ukalale. Dstv Yuko Africa nzima wakati azam hata kenya Tu hapo hawamjui
Ni kweli watu wanashindwa kuelewa kubafiri fikra.
Kingamuzi cha Dstv saiv ni elf 59 bei cheap ukilinganisha na vingine.
Kifurushi cha chini kabisa ni elfu 9 kwa mwezi bei ya chini ukilinganisha na vingine.
Another thing quality HD channels
 
Bila kulipia chanel za bure FTA hupati. Kweli hawa makaburu shikamooo.
Mbaya zaidi kifurushi kikiisha hipati redio fm hata moja. Hawa DSTV mbona wanatuona sisi mafala sana. Nilitegemea DSTV anaweza kuwa mshindani wa Azam kiasi azam wakashusha bei ya visimbusi vyao ila kwa namna DSTV wanavyozidi kukaza uzi ndio thaman ya kisimbusi cha azam inazidi kupaa
 
Unajua mmekalili kauli za zamani Sana kwamba eti dstv ni ya washua wakati siku hizi sio kweli, nakwambia ukiingia dstv utajuta hivi ilikuwa wapi siku zote. Sasa we nunua hicho cha Azam cha 5000 uone channel zake kama hutazima TV ukalale. Dstv Yuko Africa nzima wakati azam hata kenya Tu hapo hawamjui
Siwezi ondoka dstv ni habari nyingine ila watu hawajui
 
Ni za TCRA anaanza startimes anafuata Azam
Startimes ni tbc hao🤣🤣🤣😂😂 wanajitengenezea mazingira tu waongo hao, ya kwanza ni dstv ukitembea mikoani ndipo utapata jibu dstv wapo juu halafu watu hununua vifurushi hivi coz honekana ni matajiri watupu wapo humu tangu kitambo ukionekana una dstv huonekana upo juu kimaisha kiutajiri na hii ikapelekea ushindani mwingi wa kununua visimbuzi hivi so mimi ninauhakika dstv ina qatu wengi sana tu
 
Back
Top Bottom