Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Comment yako umepinga DSTV kwa kusema tukiingia tutajuta ( uliandika ukiingia utajuta) au ulimaanisha “hutajuta!!!Unahitaji IQ kubwa Sana kuelewa hapo, kama hujaelewa ujue wewe bado panzi
Na pia at the same time unaiponda Azam na package yake ya 5K kwamba tutaishia kuzima Tv. Means!?! Azam sio nzuri…
Rudia kusoma ujinga uliouandika, na nikurekebishe wewe low IQ.
Kalili inaandikwa kariri’
Unajifanya unajua kumbe huna hata unachokijua.. Mxiew