Azam wana watumiaji lak nane dstv lak na nusu, sasa hapo mnyonge nani?Habari waungwana..... Huu ndiyo muda muafaka wa kuwahama azam na kwenda kwenye full hd DSTV maana kifurushi cha Azam cha bei ya juu TSH 35,000 channel zake hazifikii kifurushi cha DSTV cha TSH 21,000.
Kwaherini Azam mlinifaa Sana kwa kipindi nilichokuwa nanyi na huu ndiyo muda rasmi wa kuwahama. Ndugu bakhresa usijisikie mnyonge maana bado tutaendeleea kushirikiana katika huduma zingine kama vile, unga wa maandazi, juici za ukwaju, mikate na kadhalika, Ila kwa upande wa king'amuzi kwaheri Mzee.
Wako katika ujenzi wa Taifa...
Bafetimbi
Hizo takwimu umetoka wapi na pia azam atabakia kuwa mnyonge mbele ya dstv Maisha yake yoote.Azam wana watumiaji lak nane dstv lak na nusu, sasa hapo mnyonge nani?
Ni za TCRA anaanza startimes anafuata AzamHizo takwimu umetoka wapi
Simply waswahili sisi hatuna uwezo wa ku afford DSTVAzam wana watumiaji lak nane dstv lak na nusu, sasa hapo mnyonge nani?
Unajua mmekalili kauli za zamani Sana kwamba eti dstv ni ya washua wakati siku hizi sio kweli, nakwambia ukiingia dstv utajuta hivi ilikuwa wapi siku zote. Sasa we nunua hicho cha Azam cha 5000 uone channel zake kama hutazima TV ukalale. Dstv Yuko Africa nzima wakati azam hata kenya Tu hapo hawamjuiSimply waswahili sisi hatuna uwezo wa ku afford DSTV
Azam si wana mpaka kifurushi cha mia5 sijui kwa siku
Nimewambia dstv kifurushi cha family waanzishe utaratibu watu wawe wanalipia buku perday watapata watumiaji wengi wanaofuatilia huba na mpaliSimply waswahili sisi hatuna uwezo wa ku afford DSTV
Azam si wana mpaka kifurushi cha mia5 sijui kwa siku
Hata DSTV chini ya kifurushi cha 21000 hakuna kitu... Mimi nalipgiaga cha 31000 coz mimi kwenye TV napenda channel 3 tu, natgeo 181, 171 iDX na ile discovery nyingine wanaoneshaga mapigano ya robots. Azam pia hizi zote anazoSasa nunua hicho cha 5000 uone channel zake kama hutazima TV ukalale. Dstv Yuko Africa nzima wakati azam hata kenya Tu hapo hawamjui
Inamaana wewe ni mdau wa madocumentaries, vipi cha muvi nzuri dstv kinaazia TSH ngapi?Hata DSTV chini ya kifurushi cha 21000 hakuna kitu... Mimi nalipgiaga cha 31000 coz mimi kwenye TV napenda channel 3 tu, natgeo 181, 171 iDX na ile discovery nyingine wanaoneshaga mapigano ya robots. Lakini kwa mtu mpenzi wa movie hata hiki hakifai
50 huko napo muda mwingi utakumbana na movie ushaziona. Kama unaweza una smart tv unalipia kifurshi cha 9000 unalipia tena showmax humo humo. Sema hii inanoga ukiwa na fiber internetCha muvi nzuri kinaazia TSH ngapi
Braza ulichokiandika we ukikisoma utaelewa? Emu jaribu…Unajua mmekalili kauli za zamani Sana kwamba eti dstv ni ya washua wakati siku hizi sio kweli, nakwambia ukiingia dstv utajuta hivi ilikuwa wapi siku zote. Sasa we nunua hicho cha Azam cha 5000 uone channel zake kama hutazima TV ukalale. Dstv Yuko Africa nzima wakati azam hata kenya Tu hapo hawamjui
Dstv ya elf 21 haiipiti azam ya 35 hata siku 1 labda kama umesema tu kimahaba.......azam kuna mengi zaidi ya hizo tamthiliaNyie huko Azam si mnapenda etugul tu
Ile package ya Azam ya 35,000 ina Chanel nyingi kweli lakini ukichunguza kwa Malini tumepigwa changa la macho pale maana wamejaza machanel ya kihindi kibao ambayo hutakuja kuangalia hata siku moja lakini umelipiaDstv ya elf 21 haiipiti azam ya 35 hata siku 1 labda kama umesema tu kimahaba.......azam kuna mengi zaidi ya hizo tamthilia