Hatimaye DSTV wakongwe wa digitali waachia local channels

Unahitaji IQ kubwa Sana kuelewa hapo, kama hujaelewa ujue wewe bado panzi
Comment yako umepinga DSTV kwa kusema tukiingia tutajuta ( uliandika ukiingia utajuta) au ulimaanisha “hutajuta!!!

Na pia at the same time unaiponda Azam na package yake ya 5K kwamba tutaishia kuzima Tv. Means!?! Azam sio nzuri…

Rudia kusoma ujinga uliouandika, na nikurekebishe wewe low IQ.
Kalili inaandikwa kariri’
Unajifanya unajua kumbe huna hata unachokijua.. Mxiew
 
Ukiniambia chanel ya HBO Naipata kwa sh ngapi ninaweza fanya maamuzi.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Simply waswahili sisi hatuna uwezo wa ku afford DSTV

Azam si wana mpaka kifurushi cha mia5 sijui kwa siku
Si kweli , kwa Azam ili uweze kuona hii mipira yenu ya akina Mbeya kwanza na Namungo ni lazima ulipe elfu 23 , na bila soka kwenye Azam labda uangalie wanyama tu , dishi lao ni 210,000 , Dstv dish ni 59,000 , kifurushi cha elfu 21 kinatosha kabisa kuinjoi , na hata soka baadhi ya game
 
Mwalimu wako wa lugha alikuwa shallow sana sasa hiyo uliyoandika "Mxiew" ndiyo nini? Unajua kuvua chupi tu
 
Ukiniambia chanel ya HBO Naipata kwa sh ngapi ninaweza fanya maamuzi.
Hiyo channel inapatikana wapi mdau, Hilo chata nimewahi kuliona kwenye series kadhaa za kizungu
 
Mwalimu wako wa lugha alikuwa shallow sana sasa hiyo uliyoandika "Mxiew" ndiyo nini? Unajua kuvua chupi tu
Nimekufyoza 😂😂 maana unajifanya ubongo umekaza
 
Kabisa aisee yani azam bila mamipira ya kibongo hakuna jipya pale ni ukatuni mtupu na itawachukua muda mrefu sana watu kulielewa hili
 
Mkuu unauhakika hizo Chaneli hazikati?? Maana kwangu nilikaaa wiki bila kulipia wakachukua zote wakaniachia TBC.
Hazikati mwanangu yani dstv kwa sasa wamekuwa watamu utafikiri pale katikati kwa watu flani hivi panapofunikwaga na vinguo flani hivi vyembamba Sana vingine vya pinki mara vyeupe sometime vyeusi yani burudaaaaaaaaani haswaa
 
hayo mampira ndo yanawaingizia pesa na watu kuliko hao Dstv wew unadhani akicheza simba au yanga arafu man u au chelsea nani atakua na viewer wengi kwa hapa Tz
 
Kule mkoani kuna king'amuzi cha dishi cha azam hakiwaki, kimekorofisha. Hivi si ninaweza kwenda na cha dstv nikapachika tu pale! Waliopo nyumbani haina haja ya azam kwa sababu hawamjui hata mchezaji mmoja wa ligi kuu.
Hiyo DSTV ina channel za dini ya kristo?
 
Sio kupachika tu, itabidi utafute satelaiti ya chaneli za Dstv. Chaneli za Dini zipo.
 
hayo mampira ndo yanawaingizia pesa na watu kuliko hao Dstv wew unadhani akicheza simba au yanga arafu man u au chelsea nani atakua na viewer wengi kwa hapa Tz
Inamaana wanaingiza pesa siku za Simba na yanga Tu na pia unaangalia viewers wa tz tu ndiyo zinaingiza Sana hela au sio, vipi Congo wanaijua Azam? Burundi, Rwanda, na Africa ya Kati huko wanaijua Azam au sio!!! King'amuzi gani ikinyesha mvua Chanel zote zinakata ni azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…