Hatimaye DSTV wakongwe wa digitali waachia local channels

Sio kweli DSTV walipoteza wateja sana kipindi cha JPM mpaka wakapunguza wafanyakazi kwa kiasi kikubwa. Nna mtu alikiwa anafanya huko na ndiye aliyenipa decoder ya dstv demo ambayo hulipii nitumie kwa muda maana yeye kasafiri
 
Tatizo Dstv huwezi kumuona Mayele
 
unaonekana ww ni bendera fata upepo kwani uwez kuhama kimya kimya....dstv ni wakongwe lkn ujio
wao ni bora zaidi.
 

Chuki zinakusumbua.....kwa asilimia kubwa unaishi kutegemea huduma za azam
 
Azam waongeze channel za cartoon ikiwemo Nicholedion kwenye kifurushi Cha sh. 23,000 ili watoto nao wafurahie Kama mnavyotufurahisha sisi wakubwa kwa channel za sports zenye mipira. Kuweka channel hizo za cartoon katika kifurushi Cha 35,000 ni kukoseshana raha na kuumizana!
 
Dstv ni wahuni sana,serikali kuna haja ya kuingilia kati hawa jamaa kwa makusudi hawaonyeshi local channels.
 
mpira wa timu pendwa ya WANANCHI utaoneshwa huko DSTV ?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Jana Mhe Nape alikuwa online ktk forum moja basi baadhi ya watz ni waajabu sana badala ya kumuuliza issues kama izi ..wao wakawa wana muuliza eti issue za tweet ya kiroboto,, mara rushwa ya ngono

Yaan nilimkumbuka magu fasta
 
Jana Mhe Nape alikuwa online ktk forum moja basi baadhi ya watz ni waajabu sana badala ya kumuuliza issues kama izi ..wao wakawa wana muuliza eti issue za tweet ya kiroboto,, mara rushwa ya ngono

Yaan nilimkumbuka magu fasta
baada ya kumkumbuka magu ulichukua hatua gani
 
Wanadai si mda wataziweka free, jirani yangu ye local zinasoma hata asipolipia
 
Hukuwa na ulazima wa kuaga kwenye mitandao wewe nenda tu, usiharibie wenzio kila mtu anauhuru wa kuchagua akipendacho.
 
Naombeni kuuliza mbona local na FTA channel quality ndogo sana nilidhani TV au TV yangu ndo changamoto kuna mtu kanishauri nibadili Hdmi ila sidhani kama ina uhusiano make channel sa michezo ziko poa mwingine kanambia et wakati wa kulifunga signal zikiwa 100% muonekano unakua low quality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…