Hatimaye Elizabeth Michael "Lulu" na Francis Ciza "Majizzo" wafunga ndoa baada ya uchumba wa miaka miwili na nusu

Nimeona nisipite bila kuiloga hii ndoa umu... Haaayaa tawire tawiree...
 
Hahaaaaa uzi huu noma umevamiwa balaa, anyway waache wa enjoy maisha ,ila kademu kaache u frii mason maana kamewaua sana kwa uchawi sawa majizzo ajiangalie sana hako kademu noma kanaweza kunywa damu yake any time kakiamua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol
 
Namuonea huruma sana Lulu yaani anabrand mbaya sana kuhusu mahusiano.
Siombei lakini ikitokea Ciza akaondoka kabla ya Lulu walimwengu watasema mengi sana
 
Good news, kahangaika hatimaye kamuona huyo ndio wife material kwake, huyu maana yake ni kuwa ana kitu ambacho wengine wote aliokutana nao hawana...
Mtoto bado mbichi huyo 23 majizo ameona sio mtu chini tepee wapi
 
Namuonea huruma sana Lulu yaani anabrand mbaya sana kuhusu mahusiano.
Siombei lakini ikitokea Ciza akaondoka kabla ya Lulu walimwengu watasema mengi sana
Mkuu punguza uchawi bc hayo mahusiano mabaya ni yapi? Majizo yupo na lulu huu mwaka karibu wa tano na ushee mmepiga kelele amuoe hatimaye kaolewa bado tu mnapiga ramli aisee tuna matatizo sana wa Tanzania.
 
Nipo huku kuzimu mazee steven kanumba ana stres ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…