kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Sio vibaya wakirudiana ni jambo la kheri ila tuwe tunaweka akiba ya maneno jamani!
Hawa watu walivyochafuana wataonekana vituko tu mbele ya jamii.
Hongera Flora. Na mkaishi kwa amani
Flora utoto umeanza muisha, Emmamuel bado mtoto. tuwaache kwanza.
Lakini Baada ya mke wake kufuta kesi mahakamani na kufuta kesi ya kudai talaka, na Kumpigia Magoti Mumewe, Mume amegoma tena, amesema hamuhitaji tena. Kabadilisha maamuzi.
Msikilize mwenyewe hapa
Unampa hongera kwa kurudi kwa mtu aliyataka kumffi..ra??. Si alitangaza kuwa mbasha alikua analazimisha kumfi?..
Kumbe........Yuko tayari sasa kutoa 0712
Its too late to apologise, its too lateeeeeeeee
Duu yaani watu wameshaichakaza puchipuchi wameichoka sasa wanamrudishia mwenyewe!!..ama kweli dunia hadaa walimwengu shujaa
Duu yaani watu wameshaichakaza puchipuchi wameichoka sasa wanamrudishia mwenyewe!!..ama kweli dunia hadaa walimwengu shujaa
Wakristo tunasameheana siku zote