Hatimaye Flora Mbasha ampigia Magoti Mumewe, amuomba amsamehe, ajutia Makosa

Hatimaye Flora Mbasha ampigia Magoti Mumewe, amuomba amsamehe, ajutia Makosa

Sio vibaya wakirudiana ni jambo la kheri ila tuwe tunaweka akiba ya maneno jamani!
Hawa watu walivyochafuana wataonekana vituko tu mbele ya jamii.

Jambo la heri kurudiana na adui aliyetaka kukupoteza ktk uso wa dunia??..ndio mnavyojidanganya hayo mapenzi ya kweli?? Nyie ndio mnapendaga hata nyoka
 
Hongera Flora. Na mkaishi kwa amani

Unampa hongera kwa kurudi kwa mtu aliyataka kumffi..ra??. Si alitangaza kuwa mbasha alikua analazimisha kumfi?..unapompa hongera unamaanisha huo mchezo nawe unaufanya na unajua utamu wake??
 
Hawa watu wazima naona wanacheza kidalipooo
 
Emmanuel-Mbasha.jpg


Lakini Baada ya mke wake kufuta kesi mahakamani na kufuta kesi ya kudai talaka, na Kumpigia Magoti Mumewe, Mume amegoma tena, amesema hamuhitaji tena. Kabadilisha maamuzi.
Msikilize mwenyewe hapa


figganiga wewe ni mwongo sana. Kama we ni mwanaume basi una tabia za kikekike sana.
Nimeiangalia na kuisikiliza hii video mwanzo mwisho hakuna mahali popote ambapo Mbasha amesema au kusemewa kuwa hamtaki tena Flora.
Kwa muujibu wa Flora na huyo mwanasheria wake inaonekana wazi juhudi za kusameheana hawa wanandoa walizianza siku nyingi kwa kushirikiana.

figganigga wewe ni mwongo sana
 
Duh kweli upendo una nguvu zaidi ya mauti, mtu aliyekutangaza kuwa ulitaka kumgeuza manyu leo hii unarudiana naye?

Dah mapenz ni quantity.
 
Its too late to apologise, its too lateeeeeeeee
 
jd41 Nimependa ushauri wako inabidi Mbasha asamehe, huo utaratibu wa kiroho, samehe saba mara usabini!!
Watulie kiutu uzima watunze wokovu wao, waendelee kufaidi baraka za ndoa yao!!
Bwn Awabariki!!
 
Last edited by a moderator:
Hii kesi inanikumbusha mbali sanaaa!!! Mwanamke anaweza kukuchukia kwa tabia zake mbovu mwenyewe na yupo tayari hata ufungwe bila huruma duh.
 
acheni chuki binafsi wameshasameheana wote tena mbasha namsifu ndo alianza kuomba msamaha mungu awabariki
 
Back
Top Bottom