mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,640
- 703
Umepata like nyingi kwasababu umechangia mwanzo na kuitaja lumumba basi ila uloandika ni uchepe tu kama ulivo wewe chepe.Kitengo cha propaganda cha Lumumba kipo kazini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepata like nyingi kwasababu umechangia mwanzo na kuitaja lumumba basi ila uloandika ni uchepe tu kama ulivo wewe chepe.Kitengo cha propaganda cha Lumumba kipo kazini.
"Wacheni" ndo lugha gani?Wacheni kihere here,
hivi lowasa yupo chama ganiHATA KAMA TUNAIBIWA WALIOSANI TUIBIWE SI WAPO NDANI YA CCM NA SERIKALI. LISSU KUSHAURI KISHERIA IMEKUWA TOPIC BADALA YA WALE WANAOTULETEA MISWADA YA MADINI SAA TANO NA KUTAKA SAA 7 IPITISHWE BUNGENI NA ILI KESHO RAIS ASAINI?????!!!!!!!??!? WATANZANIA MNATIA AIBU, WENYEWE MNAITA HATI YA DHARURA.
Huyo mkulu alikuwa miongoni mwa wabunge na mawaziri waliouza migodi yetu na raslimali nyingine kwa wazungu. Na pale akina Zitto walipoibuka kujaribu kutetea maslahi ya wanyonge, hawa hawa waongovu wa leo walipiga nyundo kichwani. Kweli miujiza ipo, nimeamini.Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.
My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.
Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.
"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.
Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.
Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]