Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu ndiyo alisaini mkataba na hao ACACIA?Hata Lissu atakimbia nchi tu. Time will tell.
Serikali hii hamna ukanjanja.
Mzalendo halisi hawezi KUDHULUMU fedha za msiba.Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.
My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.
Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.
"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.
Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.
Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.
My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.
Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.
Lazima mfe nyie wanafiki, Mungu alishasema Tz lazima ikombolewe toka kwa makupe kama ninyi. Na ndiyo maana kifo ni lazima kama hamtabadilika, na hata Mungu aliwaangamiza watu waovu wote kabla ya kufika nchi ya ahadi. Na kuhakikishia wewe na wenzanko waovu mnaoshabikia tuibiwe mtakufaaaaaaaaa.Kitengo cha propaganda cha Lumumba kipo kazini.
Waache kukimbia akina Chenge na Werema waliooversee mikataba hiyo aje akimbie Lissu? Tuache kufurahisha genge.Hata Lissu atakimbia nchi tu. Time will.
Angevumilia mpaka kesho tusikilize ripoti kwa pamoja ndo akimbie
Kumekucha, Lissu aende kumtetea mahakamani..