Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.

My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.

Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.

"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.

Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.

Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
bado, Hujanishawishi
 
Hujaweka namba ya simu wewe mganga njaa. Bashite atakupataje ili upendekezwe kwenye teuzi??
 
Lissu mnafiki sana anasema eti serikali ivunje mikataba sasa ukivunja tu bila kufanya utafiti na kuwa na grounds za kuuvunja si ndo utanyolewa Kwa panga!? nikikumbuka issue ya lowassa dah huyu jamaa mnafiki sana....
Wakati mnaingia mkataba hamkufanya utafiti mnafanya leo dhahabu inapoelekea kwisha ujuha kweli.
 
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.

My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.

Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.

"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.

Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.

Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Hii imejaa ukakasi ni habari ya kupikwa
 
Wadau kesho ndo Rais wetu Anapokea riport ya pili lakini kwa taarifa zilizonifikia ni kuwa mkurugenzi wa ACACIA AMEKIMBIA NCHI KARIBU KWA MICHANGO ILA KESHO NDO TUTAJUA MBIVU NA MBICHI ZA LISU ZITTO TUSHAJUA NI MSALITI WETU WA NCHI NA MNAFIKI NGOJA TUSUBIRI KESHO WATANZANIA TUTULIE
 
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.

My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.

Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.

"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.

Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.

Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Hawakuwahi kuchukua Passport yake.
 
Mtoa mada na watetezi wako, bado mna mning'inio. Rudini mkaendelee kuuchapa usingizi
 
Sidhani kama High Profile kama yule atapita airport bila wao kujua
 
Ma CCM mnajitekenya na kucheka wenyewe,mikataba ya kisenge msaini nyie leo mnatupigia kelele et tuoneshe uzalendo.
Tokeni zenu mapimbi nyie.
 
Kuna watu mnachukulia poa sana vitu ambavyo ni serious...Hii game siyo ya kuzungusha mikono...ni serious business
Pumbavulao katika ubora wako. Una mawazo ya kikima, ndo unaiona hii ishu ni serious ss hv? Wanafiki wakubwa nyie.
 
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.

My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.

Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.

"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.

Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.

Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Akimbie tu hana jinsi.Waliokuwa wanawatetea watafute shimo la kuingia.
 
Sasa ndio tuna rais mzalendo wa kweli kabisa god bless my pressident na watu wake ambao ni wazalendo.. vibaraka tupia motoni
 
Ndo maana tangu wiki iliyopita naamini na hili hamtanishawishi nibadilike; NAAMINI KATIKA WABUNGE WA CCM MWENYE AKILI TIMAMU NA AMBAYE ANATUMIA ELIMU YAKE IPASAVYO NI ALLY KEISSY MOHAMED, pekee.
 
Back
Top Bottom