Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi lissu kesharudi!! mwongo mkubwaHa!ha macho yote yako hapa
View attachment 522623
Ndio, aende maana ndiye aliyesimamia kuingia mikataba mibovu ya madini. Ndiye aliyeshinikiza wabunge wa CHADEMA watutungie na kuzipitisha sheria mbovu za madini kwa vishindo vya ndiyooooooooooo vilivyozifunika sauti za wapinzani wako CCM. Huyuhuyu Lisu Ndiye anayeficha mikataba ya madini isitoke hadharani. Aende tu mahakamani akawateteee. Aachane na sisi wazalendo wa CCM. Na akome kabisa kuwasema akina mtemi Chenge kuwa ndio waliandaa mikataba hiyo. Hiyo mikataba imeandaliwa katika utawala wa CHADEMA chini ya rais wako Lowasa na baraza lake la mawaziri, wala CCM haihusiki ng'o!Kumekucha, Lissu aende kumtetea mahakamani..
bajajKwa miguu au katumia baiskeli
Mpaka TBC wasemeUnreliable source.
Utakaa hivyo hivyo! Mmeona Mropokaji wenu anavyopelekwa kaburini?Unreliable source.
Hii imetokea SAA chache kabla ya uwasilishwaji wa report.
![]()
Sijaelewa. Nimeomba reliable source ya hii habari kwamba mkurugenzi wa acacia kakimbiaUtakaa hivyo hivyo! Mmeona Mropokaji wenu anavyopelekwa kaburini?
Jamaa ameona tsunami linalikuja!Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.
My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.
Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.
"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.
Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.
Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]