Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Ndo maana tangu wiki iliyopita naamini na hili hamtanishawishi nibadilike; NAAMINI KATIKA WABUNGE WA CCM MWENYE AKILI TIMAMU NA AMBAYE ANATUMIA ELIMU YAKE IPASAVYO NI ALLY KEISSY MOHAMED, pekee.
 
Jamani hatutaki sifa za kijinga h9apa ni kuanza upya na katiba ya warioba kilakitu kitaenda sawa wale wote walio saini mikataba waitwe waungame kuwe na mariziano ya kitaifa kama kweli ni mzelendo kama anavyo tuaminisha sisi wanyonge coz muda unaenda kwa kasi zahabu yenyewe migodini inaondoka kwa wazungu yani ni bora kuanza moja kuliku Tundu tunaye bishana naye tatizo ni mikatabu hiyo mibovu iliyo sainiwa
 
Aibu kubwa sana kwa watetea mafisadi chadema
Mnaangaika wanafiki kila kukicha kutunga uwongo,na kujitekenya na kucheka wenyewe hivi Lissu na Zitto ndo waliwasainisha mkataba hao Acacia,kwa kuwa mmezoea unafiki ndio mnataka kuumbuka kwa mafisiemu mumuingize Lissu,nyie si ndo mlileta mikataba ya gesi kwa hati ya dharura na wapinzani wakatoka na kuisusia kuijadili,sasa na bado mtaumbuka zaidi.
 
Wadau kesho ndo Rais wetu Anapokea riport ya pili lakini kwa taarifa zilizonifikia ni kuwa mkurugenzi wa ACACIA AMEKIMBIA NCHI KARIBU KWA MICHANGO ILA KESHO NDO TUTAJUA MBIVU NA MBICHI ZA LISU ZITTO TUSHAJUA NI MSALITI WETU WA NCHI NA MNAFIKI NGOJA TUSUBIRI KESHO WATANZANIA TUTULIE
Acha ushabiki usiokuwa na maana haya Mambo ni shughuli pevu tusidhani ni kirais rais wako watu wamefunga Piper wanachota kwa kuchota mahasilimia yani migawo kila kukicha hivyo wameweka mizizi kuing'oa ni ngumu.Hawo kina lisu sijui zito hao ni cha mtoto yako kina Kara.. walioenda kusain kule kule mamton
 
Hata Lissu atakimbia nchi tu. Time will tell.

Serikali hii hamna ukanjanja.
Waache kukimbia nchi waliosaini mikataba wakimbie wanaokosoa mazongozongo yenu na drama za kuelekea 2020??? Akimbie aliyewaleta wazungu kwanza!!!
 
Kuna watu mnachukulia poa sana vitu ambavyo ni serious...Hii game siyo ya kuzungusha mikono...ni serious business
Serious what??? Asainishe mikataba mwana-MCC alete drama mwana-MCC mkosaji asingiwe Tundu Lisu. Kweli CCM ina mtaji wa malofa wa kutosha katika nchi hii!!!
 
Hata Lissu atakimbia nchi tu. Time will tell.

Serikali hii hamna ukanjanja.
Hivi wabongo mmelogwa na nani???
Hivi kati ya lissu na walioingia hiyo mikataba na kuruhusu utoroshwaji nani anafaa kukimbia nchi... Acheni ujinga wenu
 
Wadau kesho ndo Rais wetu Anapokea riport ya pili lakini kwa taarifa zilizonifikia ni kuwa mkurugenzi wa ACACIA AMEKIMBIA NCHI KARIBU KWA MICHANGO ILA KESHO NDO TUTAJUA MBIVU NA MBICHI ZA LISU ZITTO TUSHAJUA NI MSALITI WETU WA NCHI NA MNAFIKI NGOJA TUSUBIRI KESHO WATANZANIA TUTULIE
Boss wa Acacia sidhani kama walishawahi kufika Tanzania, wote unaowaona ni wafanyakazi kama wengine tu japo kila mmoja anasehemu yake ya kuripoti uzalishaji wake, kusema Boss wa acacia akimbia nchi ni UONGO, mfano manager anaomba kazi kama watu wengine tu ndio maana nafasi za kazi hutangazwa labda uniambie ni Boss yupi huyo aliyekimbia nchi maana mgodini mabosi wengi kulingana na kitengo kilivyo kila mtu ni boss katka nafasi yake maadam aweanasimamia watu kuanzia kumi na kuendelea mie mwenyewe Boss lakini haiwexekani nikiacha kazi kwa utashi wangu iwe Boss wa acacia kaondoka, kumbuka acacia siyo mtu na siyo kampuni ya mtu mmoja .
 
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.

My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.

Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.

"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.

Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.

Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Naona like bando la GB1 ulilounganishwa tokea kitengo cha uchumi na fedha pale Lumumba unalitendea haki, na ole wako uende kunyume cha mkataba uliopewa, ila siku hizi wamewaza kweli manake kipindi Kile mnapewa hela muweke vocha wenyewe mlikuwa mnaweka bando ya miatano nyingine mnapigia mihogo
 
Acha ushabiki usiokuwa na maana haya Mambo ni shughuli pevu tusidhani ni kirais rais wako watu wamefunga Piper wanachota kwa kuchota mahasilimia yani migawo kila kukicha hivyo wameweka mizizi kuing'oa ni ngumu.Hawo kina lisu sijui zito hao ni cha mtoto yako kina Kara.. walioenda kusain kule kule mamton
Waoga na Wanafiki tu ninyi; shughuli gani pevu?
 
Nikisikia eti mzalendo huwa nacheka sana maana watu wanapiga hela sasa kwenye vitengo kuliko kawaida.

Maana no one knows tomorrow km huamini kachungulie michezo ya UMISETA NA UMITASHUMTA ndo utajua kuna uzalendo au la.
 
Back
Top Bottom