Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Bila shaka hujielewi majira yanavyoenda,mikataba ndiyo lissu anawakumbushia wakati mkisema ndiyoooooooooo,,,kwa sasa mmebanwa nayo mpaka mmetoa macho kodo,,aibu yenuuu, ,Mungu ibariki chadema itengue mikataba tuachane na longo longo,
Si lissu ameshakuambia hiyo mikataba haitenguliki mpaka iishe?
 
PIA SOKONNE ANGEKUWEPO WALIOUZA NYUMBA ZA SERIKALI NA KUINGIA MIKATABA YA KI-CAR PETER'S WANGEELEZA DIF. YA UZALENDO.
 
hivi kweli acacia ni wa kukimbia nchi ya Tanzania kienyeji nanma hii ?
 
Kweli ww ni bure kabisa yaana lissu akimbie nchi yy ndo alisaini hiyo mikataba?ma papaa mmeyashindwa mnataka kukimbilia mnyonge mmtoe kafara na kama unania ya kweli wore walionufaika na mikataba wote wapi tena wakiwa hai!
 
Hiyo hajakimbia wakati anamiliki kipande cha ardhi chenye ukubwa kama nchi ya ubelgiji!
 
CCM wanapomvisha Lisu madhambi yao.

Jipangeni upya...hatudanganyiki.
 
Sidhani kama amekimbia. Mgodi wa Bulyanhulu mpaka sasa nadhani mameneja ambao wamekwishajiuzulu tangu uanze si chini ya 5. Hilo limekuwa likitokea kila wakati inapoonekana mgodi unafanya vibaya. Wenzetu wa sense of responsibility. Hawang'ang'anii kama kupe hata pale ambapo uwepo wako hauna tija iwe ni kwa makosa yako mwenyewe au watu wengine.

Kwa sasa ambapo kuna uwezekano wa mgodi huo kufungwa, wale wote ambapo majina yao yana sifa nzuri kimataifa, lazima wataacha kazi na kwenda kwenye makampuni mengine. Hata Watanzania watakuwepo ambao tayari watakuwa wameanza kutafuta kazi sehemu nyingine maana mgodi wa Buly na Buzwagi haina future kiajira, kiuwekezaji na hata kwa mapato ya serikali.
 
Back
Top Bottom