Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.
My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.
Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.
"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.
Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.
Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Rubbish ni pamoja na akili za kilumumba.Kuna watu mnachukulia poa sana vitu ambavyo ni serious...Hii game siyo ya kuzungusha mikono...ni serious business
Kama aliyokuwa akifanya hayakuwa na baraka za wenye mgodi akiwa kawaibia hapo unasemaje?Atakimbia nchi kwani yeye ndiye mwenye mgodi. Upuuzi wenu tu.
Nimependa hapo uliposema Sokoine angekuwepo Lissu ndio angejua nini maana ya Uzalendo[emoji1] [emoji1]Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.
My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.
Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.
"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.
Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.
Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Mama tundu Utaelewa tuKitengo cha propaganda cha Lumumba kipo kazini.
Aeipokimbia tutamkimbiza kwa lazimaKwa ujinga ujinga wenu kamwe lissu hawezi kimbia nchi
Hahahaha mwanasheria anaogopa kushtakiwaKuna watu mnachukulia poa sana vitu ambavyo ni serious...Hii game siyo ya kuzungusha mikono...ni serious business
Umeleta taarifa au umbea.Ficha maladhi basi hata kidogo we unaelewa nin kuhusu mikataba ya madini acheni utoto asee watu wanawageuza wananchi kama mpira wa kuchezea afu unaleta propaganda.Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.
My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.
Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.
"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.
Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.
Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Enzi hizo si hatukuwa na uelewa kwa sasa tunaweledi wa kuelewa tunaona lisu ni mtetezi wa wezi,,Hivi ktk sakata la mchanga mkosefu ni Lisu au viongozi wa serikali waliogawa madini yetu bure kwa wazungu ??!! Au nia ni nini?!
Lisu amepigania raslimali za nchi hii kwa maisha yake ya usomi, hawa wengine walikuwemo ndani ya baraza la mawaziri waliogawa madini yetu.