Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Mungu hachezewe kwa maneno tu ya ajabu hasa double standard suala la VYETI FEKI .
Watumishi ni haki yao ya kisheria kupata INCREMENT kwa kila July ya mwaka.
 
Hivi ktk sakata la mchanga mkosefu ni Lisu au viongozi wa serikali waliogawa madini yetu bure kwa wazungu ??!! Au nia ni nini?!

Lisu amepigania raslimali za nchi hii kwa maisha yake ya usomi, hawa wengine walikuwemo ndani ya baraza la mawaziri waliogawa madini yetu.
Lisu alikuwa anapigania tumbo lake tu...ndio maana sasa hivi akataka kuendeleza usaliti kwa ajili ya tumbo lake tu
 
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi
Kama huyu kaacha kazi na kukimbia nchini CCM na genge lao wanasubiri nini kuachia ngazi na kwenda kuomba hifadhi segerea?.
 
Hata Lissu atakimbia nchi tu. Time will tell.

Serikali hii hamna ukanjanja.
Lisu akimbie nchi? Kwa kosa gani au ana tuhuma gani za kufanya akimbie nchi? Kama alimwita JPM Dikteta uchwara na hakukimbia leo atakimbizwa na nini hasa?!?!
 
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na wanasheria inatarajia kukabidhi ripoti yao kuhusu uchunguzi wa mchanga wa dhahabu (Makinikia) mapema Jumatatu ijayo jizi limeona libwage manyanga.

My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.

Wakati huohuo Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha Kazi mkurugenzi wa uthibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA) Bw Felix Ngamlagos.

"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.

Mungu mlinde Rais John Pombe Magufuli huyu ni mzalendo halisi.

Remy Cameroon
[HASHTAG]#AhmedNgereza[/HASHTAG]
Tunashkuru kama kakimbia nchi na kwa maana hiyo mgodi mali yetu,Alhamdullilah.
Huyu Tundu Lissu muacheni kwanza mlishasema ni mgonjwa wa akili,iweje leo hawatoki mdomoni?
 
Lakini kama mtu ni mwizi katuibia mumemuachaje akakimbia wakati alitakiwa akamatwe na kuwekwa lupango?.
 
Hivi kesho ikipita bila na kuwa na lolote jipya, itakuwaje,? Yaweza kuwa ni moja ya kiki kama kiki nyengine zilizopita.
 
Akili za baadhi ya wabongo ni matope kabisa, kwahiyo adui wa mali zetu ni Lissu? Hovyo kabisa.

Tangu tupate uhuru,upande wa kijani umekuwa madarakni...na hao ndiyo wakulaumiwa.Naomba tuheshimiane!
 
Haya yote yameletwa na makaburi mnayoyalea mpaka sasa na mpaka baada ya hiyo ripoti unayoisubiria kwa hamu!
 
Lisu alikuwa anapigania tumbo lake tu...ndio maana sasa hivi akataka kuendeleza usaliti kwa ajili ya tumbo lake tu
Hatutaki ujinga wenu,kama huyo meneja ni mwizi wa madini yetu kwa nn mmemuacha akimbie?
 
Lisu alikuwa anapigania tumbo lake tu...ndio maana sasa hivi akataka kuendeleza usaliti kwa ajili ya tumbo lake tu
Hatutaki ujinga wenu,kama huyo meneja ni mwizi wa madini yetu kwa nn mmemuacha akimbie?
 
My Take: Kumbe ndiyo maana mtetezi wa wezi wa madini TUNDU alikuwa akiwapigia wezi hao na kuwaomba taarifa ili aweze kuwatetea. Ninatamani Sokoine angekuwa hai leo TUNDU ungeelewa maana ya uzalendo kwa vitendo.
Mungekuwa na akili hata robo tu alizo nazo Lisu mungemsikiliza tangu mapema alipo kuwa anapinga kutokusaini mikataba mibovu hata upuuzi huu mnaohangaika nao msingekuwa mnahangaika nao.
 
Back
Top Bottom