Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Kitengo cha propaganda cha Lumumba kipo kazini.
Umepata like nyingi kwasababu umechangia mwanzo na kuitaja lumumba basi ila uloandika ni uchepe tu kama ulivo wewe chepe.
 
Tupatie credible source, sio hadithi za kwenye vijiwe.
 
hivi lowasa yupo chama gani
 
Huyo mkulu alikuwa miongoni mwa wabunge na mawaziri waliouza migodi yetu na raslimali nyingine kwa wazungu. Na pale akina Zitto walipoibuka kujaribu kutetea maslahi ya wanyonge, hawa hawa waongovu wa leo walipiga nyundo kichwani. Kweli miujiza ipo, nimeamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…