Ukiulizwa sema lakini bado , mbona unasema hayoMke awe mvumilivu tu maana jamaa cha pombe balaa
Safi sana. Chama letu linazidi kupigwa na dhoruba!!
Na wengine yakiwashinda wanarudi.Wala hakipatwi na dhoruba bali kinajifanyia mchujo...na kubakiwa na makamanda wa kweli....
Na wengine yakiwashinda wanarudi.
Mchepuko katika ubora wake,kakusikia mwenzioMke awe mvumilivu tu maana jamaa cha pombe balaa
Si mama angu wala baba angu amewahi kuniuliza achilia mbali kunihimiza kuoa! Sana sana walimshangaa mdogo wangu kutaka kuoa wakati bado kalikuwa kavulana ka miaka 24 tu!!Hongera kwake mana kuna umri ukifika bado hujaoa lazima ujiulize mara 2 na kama mama/baba yako yupo hai ugomvi wa kukuhimiza uoe hautakuwa ukiisha
Ulichoandika hapa ni sawa na kumkaribisha Mgeni chai isiyo na sukari alafu unamwambia 'sukari ipo tele kule jikoni lakini sijakuwekea' sasa sijui kama wewe ndio Mgeni hapo utamuuliza nini huyo Mwenyeji wako.Ukiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.
Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.
Don't get twisted, love is a beautiful thing.