Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

mi nilifikiri amemuoa esta dalali yule dada anayeuza kuku toka singida, au ndio yalikuwa mambo ya kuosha rungu tu!!
ata mm nilivyoona nilijua anamuoa esta
 
Wakosaji tuko wengi....tuendelee na faraja za kijinga "sizitaki mbichi hizi"
Sizitaki mbichi hizi ni kauli ya kwamba, unataka jambo fulani lakini unashindwa kulipata na hatimae unasema sina haja nalo... hiyo ni sizitaki mbichi hizi; kisebu sebu na kiroho papo! Kwenye suala la ndoa, ni suala la maamuzi kuliko eti mtu anataka kuoa lakini anashindwa na mwishowe anasema sina haja ya kuoa... at least, am not one of them!
 
Tunamkaribisha kwa mikono miwili kwenye chama.
 
Kumbe alikuwa bado yupo yupo.

Yawezekana labda alikuwa anasubiri kwanza hadi AMREF wahakiki usalama ili waweze kutoa Cheti kilichokuwa certified pengine wiki mbili tatu zijazo Bibie asije " kujuta " na kuanza ratiba za kila Jumanne na Ijumaa kuhudhuria majengo ya Serikali.
 
mi nilifikiri amemuoa esta dalali yule dada anayeuza kuku toka singida, au ndio yalikuwa mambo ya kuosha rungu tu!!
haa aa yule Esta full kumrushaga G instagram Kumbe jamaa kaopoa kitu kikali halafu mdogo mdogo huyu.. jana atakua alikua na maumivu hatari
 
Hili neno jiko nalionaga au kulichukulia kama dharau sana kwa wanawake lakini wao wenyewe wapo kimya tu.
 
Unakaa nchi gani wewe??? Tanzania hii kuna mwanaume atake kuoa na ashindwe(akose)?????

Hata kama ni hanithi. Mwanaume hakosi mke wewe kwa jinsi walivyojaa

hata mimi nashangaa....sijui nakaa nchi gani??!!
 
Sizitaki mbichi hizi ni kauli ya kwamba, unataka jambo fulani lakini unashindwa kulipata na hatimae unasema sina haja nalo... hiyo ni sizitaki mbichi hizi; kisebu sebu na kiroho papo! Kwenye suala la ndoa, ni suala la maamuzi kuliko eti mtu anataka kuoa lakini anashindwa na mwishowe anasema sina haja ya kuoa... at least, am not one of them!

Santee....kalesa!! Kwa kamusi.
 
Ukiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.

Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.

Don't get twisted, love is a beautiful thing.
Upo sahh kabisa mkuu!!!Jf sometimes ina Tia moyo na Sometime inavunja moyo wa kufanya maamuz sahh kwa wakat sahh!!!Hasa ukiamini Tafiti za makanjanja wa Humu!!!
 
Zamani mtu ukivuta jiko au kuoa.....unaheshimika sana mbele ya jamiii.......na kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzako......

Kutokana na ndoa kugeuka kuwa magereza ya mateso.....na vifungo vya dhiki.....kijana kuoa imekuwa habari ya kushangaza sana na pengine kukuonea huruma.....

Wakati wao wanakushangaa.....na wewe unawashangaaa.....
Ndoa zingekuwa kama unavyozielezea nafikiri tusingezishuhudia ktk nyumba za ibada na kusingekuwa na familia maana hakuna apendae gereza.
 
Si mama angu wala baba angu amewahi kuniuliza achilia mbali kunihimiza kuoa! Sana sana walimshangaa mdogo wangu kutaka kuoa wakati bado kalikuwa kavulana ka miaka 24 tu!!
Long Live Bachelors Community... hatutaki shida na mtu!
Wazazi wako hawakutakii mema ujue kuna wakati maisha ya kisela kwako inabidi yabaki historia ukioa unajifunza mengi sana katika maisha ukijumlisha pamoja na majukumu ya kuwa na familia
 
Back
Top Bottom