ata mm nilivyoona nilijua anamuoa estami nilifikiri amemuoa esta dalali yule dada anayeuza kuku toka singida, au ndio yalikuwa mambo ya kuosha rungu tu!!
Long Live Bachelors Community... hatutaki shida na mtu!
Sizitaki mbichi hizi ni kauli ya kwamba, unataka jambo fulani lakini unashindwa kulipata na hatimae unasema sina haja nalo... hiyo ni sizitaki mbichi hizi; kisebu sebu na kiroho papo! Kwenye suala la ndoa, ni suala la maamuzi kuliko eti mtu anataka kuoa lakini anashindwa na mwishowe anasema sina haja ya kuoa... at least, am not one of them!Wakosaji tuko wengi....tuendelee na faraja za kijinga "sizitaki mbichi hizi"
Hao hao wembamba wengine wanaasili ya unene wakishaolewa wakazaa wanajiachia wanakuwa wanene..lakini kwenye harusi hapo utasema miss si huyu.Wanawake wanene hawaolewi huko Dar?
Wakosaji tuko wengi....tuendelee na faraja za kijinga "sizitaki mbichi hizi"
View attachment 384993
Hatimaye Mtangazaji wa Kituo cha Radio cha E-Fm(Wazee wa Huu mchezo hautaji hasira) ameachana rasmi na kambi ya ukapela na kuvuta jiko.
More pics to come
Na kweli mbona wanawake wanene hawaolewi kuna nini?Wanawake wanene hawaolewi huko Dar?
Kumbe alikuwa bado yupo yupo.
haa aa yule Esta full kumrushaga G instagram Kumbe jamaa kaopoa kitu kikali halafu mdogo mdogo huyu.. jana atakua alikua na maumivu hatarimi nilifikiri amemuoa esta dalali yule dada anayeuza kuku toka singida, au ndio yalikuwa mambo ya kuosha rungu tu!!
Unakaa nchi gani wewe??? Tanzania hii kuna mwanaume atake kuoa na ashindwe(akose)?????
Hata kama ni hanithi. Mwanaume hakosi mke wewe kwa jinsi walivyojaa
Sizitaki mbichi hizi ni kauli ya kwamba, unataka jambo fulani lakini unashindwa kulipata na hatimae unasema sina haja nalo... hiyo ni sizitaki mbichi hizi; kisebu sebu na kiroho papo! Kwenye suala la ndoa, ni suala la maamuzi kuliko eti mtu anataka kuoa lakini anashindwa na mwishowe anasema sina haja ya kuoa... at least, am not one of them!
Jaman sio kila mahusiano mwisho wake ndoa,mahusiano mengne mi ku gain Experience tu!!!mi nilifikiri amemuoa esta dalali yule dada anayeuza kuku toka singida, au ndio yalikuwa mambo ya kuosha rungu tu!!
Upo sahh kabisa mkuu!!!Jf sometimes ina Tia moyo na Sometime inavunja moyo wa kufanya maamuz sahh kwa wakat sahh!!!Hasa ukiamini Tafiti za makanjanja wa Humu!!!Ukiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.
Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.
Don't get twisted, love is a beautiful thing.
Ndoa zingekuwa kama unavyozielezea nafikiri tusingezishuhudia ktk nyumba za ibada na kusingekuwa na familia maana hakuna apendae gereza.Zamani mtu ukivuta jiko au kuoa.....unaheshimika sana mbele ya jamiii.......na kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzako......
Kutokana na ndoa kugeuka kuwa magereza ya mateso.....na vifungo vya dhiki.....kijana kuoa imekuwa habari ya kushangaza sana na pengine kukuonea huruma.....
Wakati wao wanakushangaa.....na wewe unawashangaaa.....
Wazazi wako hawakutakii mema ujue kuna wakati maisha ya kisela kwako inabidi yabaki historia ukioa unajifunza mengi sana katika maisha ukijumlisha pamoja na majukumu ya kuwa na familiaSi mama angu wala baba angu amewahi kuniuliza achilia mbali kunihimiza kuoa! Sana sana walimshangaa mdogo wangu kutaka kuoa wakati bado kalikuwa kavulana ka miaka 24 tu!!
Long Live Bachelors Community... hatutaki shida na mtu!
Ahahahahahaa we unaendelea kuyaosha au ushamaliza unaosha moja tu..???mi nilifikiri amemuoa esta dalali yule dada anayeuza kuku toka singida, au ndio yalikuwa mambo ya kuosha rungu tu!!
Khee.. we umbea umeanza lini..??!haa aa yule Esta full kumrushaga G instagram Kumbe jamaa kaopoa kitu kikali halafu mdogo mdogo huyu.. jana atakua alikua na maumivu hatari