Hapo chachaKwanini wakutane wakati huu na sio wakati ule alipomtukana?
Umepita muda gani kwani?
Uliahidi kuhama nchi. October unahamia wapi?Duh mtu anakula matapishi yake shame
Hahah aliambiwa Pengo nakukemeaaa.Hapa Bashite, pale Gwajima....balaa tupu.
Huyu askofu ndiye yule aliyeulizwa amekula maharagwe ya wapi au?
Movie kali sana.
Nimeona ni Kwa nini MUNGU aliona ni vyema amuepushe Lissu na kifo huyu MTU ni habari nyingine.
Gwajima atajipendekeza kwa kila mtu awamu ili mradi tu apate kuwala kondoo wa KaweMAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.
View attachment 1577080
View attachment 1577083
Ponda hana njaa na wala sio msaliti hata siku moja, angetaka msamaha wa kweli angeomba kipindi kile kile kabla ya kueka nia, kwa sasa ni unafiki tu na kiislam mnafiki anafungwa jiwe kubwa na kutumbukizwa bahari ya Sham kabla hata jua halijakuchwa.Siasa zimekuwa juu ya dini sasa!
Nasubiri picha ya askofu Gwajima na sheikh Ponda ya kutakiana amani!
Kwani Gwajima ana njaa?Ponda hana njaa na wala sio msaliti hata siku moja, angetaka msamaha wa kweli angeomba kipindi kile kile kabla ya kueka nia, kwa sasa ni unafiki tu na kiislam mnafiki anafungwa jiwe kubwa na kutumbukizwa bahari ya Sham kabla hata jua halijakuchwa.
Same he saba mara sabiniHongereni nyote
Inawezekana uchaguzi ndo umesababisha, lakini inawezekana kupitia uchaguzi mtukanaji kaona aombe msamaha sasa..Kwanini wakutane wakati huu na sio wakati ule alipomtukana?
Umepita muda gani kwani?
Sio mtanzania yeyote tu, alisema anaenjoy kuliko kiumbe yeyote yule chini ya jua! Umenipata vizuri? KIUMBE YEYOTE!Baba watatu nyoa ndevu basi si tunasikia una hela na raha kuliko mtanzania yoyote?
Ni 'Yule kiumbe'Makonda Ni nani jameni Samahani nauliza tu kujua
Anamiliki na treni eeeenhKwani Gwajima ana njaa?
Anamiliki ndege na Huduma ya Neno!