MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.
View attachment 1577160
View attachment 1577080
View attachment 1577083
Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati wa kutupa mawe, na wakati wa kukusanya mawe.MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo...
KURA hako mnyime, ila ndio mbunge wa Kawe. Katafute malimao.Pengo alishatangaza kumsamehe hata sisi tumemsamehe ila kura zetu hapati kwani anatumia jina la Mungu kufanya utapeli
sio moja ziko nyingi nyie endeleeni kuibiwa sadaka zenu na kufanywa mazezeta halafu mnafufuliwaKURA hako mnyime, ila ndio mbunge wa Kawe. Katafute malimao.
Mara zote mtu uomba msamaha pale anapohisi kakosea. Halafu, sisi Wakatoliki tunampenda sana aliyetukosea ili aweze kujutia kosa lake. Kwahiyo, usije kushangaa akapata kura nyingi za Wakatoliki kuliko hata wafuasi wake.mara tu unapogundua kuwa umekosea, na sio kufanya ili upate kura za wakatoliki.
Utashangaa kwenye hiyo picha Bashite ndio mwenye dhambi chache kuliko hao wanafki wawili.Wanasiasa hawatauona ufalme wa Mungu.
Gwajima na Makonda wanafanana sana kwenye ukosefu wa aibu
Ikoje hiyo mkuu?.Nimekumbuka movie ya 3 idiots.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye ile video ya gwaji apakie tujikumbushe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekumbuka movie ya 3 idiots.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Serio anaiabisha jamiiforums wiii weeei weeei wiiiuuu wiiiiu naliamusha dude ππ€£πππππ€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekulaa maharage ya wapi weweee...mjinga weweee.. Huna akilii weweeee....
Ninaamini ameenda kumuona askofu kwa kusukumwa na sababu za kisiasa kuomba msamaha kwa kauli zake dhidi ya Askofu mstaafu Pengo akilenga wapiga kura wakatoliki. Naona huyu mgombea atahangaishwa sana na kauli zake alizokwisha zitoa.Nimpongeze Askofu Gwajima kwa hili alilolionesha leo...kwani baada ya miaka kadhaa ya kumkwaza Kadinali Pengo na waumini wa Kanisa Katoliki hatimaye amerudi kwa maridhiano ...maridhiano haya yanatoa fursa ya upendo kwenye jamii.
Niseme hata mimi alinikwaza kwa yale alitotamka na kuyafanya miaka mitano iliyopita lakini baada ya tukio la leo...roho yangu imekuwa nyeupe sana kwake.
VIVA TANZANIA !!