MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin.
Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha ratiba tu na haitakuwa na maana yoyote.
Nikiwa kama Mdau na Mzalendo wa Tanzania KEROZENE nichukue nafasi hii Kumshukuru Rais Samia kwa Kupoteza bure tu hizi Pesa zote ambazo huenda angezielekeza Kwingineko kunakohitaji Maendeleo zingefanikisha.
Pia nichukue nafasi hii ya dhati kabisa Kuwashukuru na Kuwapongeza Waandamizi hawa Wawili Waziri Mkuu Majaliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Michezo Dk. Abbas kwa Kutuongopea na Kututia Moyo Kipuuzi Watanzania kuwa mwakani 2022 tutakuwa Kombe la Dunia nchini Qatar.
Wakisahau kuwa Kombe la Mataifa Huru tu ya Afrika limetuhenyesha kwa zaidi ya Miaka 30 mpaka pale Hayati 'Mkemia Mbishi' alivyompigia Magoti Rais Museveni ili Uganda itulegezee tushinde nasi tushiriki na Serikali yake na Chama chake Tawala cha CCM kipate Sifa.