Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Eva humpendi hamisa jamani!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kumlinganisha na zari ni dhambi
 
Ana miaka 23...na amekuwa kwenye mahusiano na Mondi kwa mika 10! 23 - 10 = 13 😳😳
 
Eva humpendi hamisa jamani!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kumlinganisha na zari ni dhambi
Dhambi kivipi? Mi sijamlinganisha nimewasaidia nyie shabiki zake mnaomlinganisha, make kumlinganisha zari na hamisa ni sawa na kulinganisha kokoto na mlima, hamisa kazidiwa kuanzia maendeleo hadi kutumia filters ha ha ha
 
Evelyn umenifanya nicheke kwa sauti kubwa mnoo haswaa hapo " alipoanza ku date akiwa na miaka 13... Raynavero sijui yuko wapi leo
 
Watamgegeda sana huyu bwege... shauri zake..

"mchizi kichizi "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…