Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Usisahau umri huo ana watoto wawili wa baba tofauti, maisha yake complex sana kama nyeti za mwanamke hayaeleweki hata kwa calculator
Sura yake haiendani na umri anausema nadhani anakaribi 30 sema vipodozi zinambeba lakini naamini ukikutana naye ndo katoka kuamka unaweza ukamkimbia
 
daaah hapo alipo ana 23 years, inaonyesha mapenzi ameanza akiwa na 5 years
 
Aliacha Shule kidato cha pili....
 

Let the past stay where it belongs
Kuna watu wanafurahia sana magumu na mapito ya watu, kibaya zaidi watu hawahawa wanachukizwa na maendeleo ya mtu.
Hamisa ni mwanadamu ana mapungufu lakini watu wanatumia mapungufu yake kuwa kiboko cha kila siku utafikiri wao ni wakamilifu.
Hamisa live your dreams mamiii !
 
Wanaume ndio maana tunatembea uchi na kuokota makopo
Sasa upate mademu watatu wa hivi dua tatu sikuijie si ma file ya windows kwenye ubongo yana corrupt yote
word
 

Tawile
 
Kitoto kichawi saaana ata ukikitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…