Hatimaye Harmonize anunua bonge la kiwanja,akipanga kushusha Ghorofa hapa mjini

Huyo mkaka aliyenyoosha kidole, mbona ana maumbile makubwa?
Kaikunjia kushoto hadi ring limeonekana.
Akina kaka mjisitiri kwa kuvaa boxer au chupi.
Huko maporini mkinasa kwenye visiki mkachana suruali je?
Umeitamani
 
Yaani wee siku zote unawaza kufanywa tu
 
Yaani mpaka sungu inangupweteka muchi mngung'u nwangu apite kunalisweka kwanga nchaga, bora akipe msumbiji akavatware vana va chireno
[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Yaani mpaka sungu inangupweteka muchi mngung'u nwangu apite kunalisweka kwanga nchaga, bora akipe msumbiji akavatware vana va chireno
Eti totoz za kireno. Ndugu yenu kafika kwa mchaga
 
Huyu dogo asiposhikwa mkono na ndugu zake atakufa maskini rayvann mwenzake tayar ana nyumba, yeye amebaki kumfungulia miradi ya biashara wolper, yaani ayu mwana anibanga sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] baaa...pachoto..

mwana anibanga kabiisaaa....!!
 
Yaani mpaka sungu inangupweteka muchi mngung'u nwangu apite kunalisweka kwanga nchaga, bora akipe msumbiji akavatware vana va chireno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baaa....wepo lakiniiii.....!!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ....
 
Huyo mkaka aliyenyoosha kidole, mbona ana maumbile makubwa?
Kaikunjia kushoto hadi ring limeonekana.
Akina kaka mjisitiri kwa kuvaa boxer au chupi.
Huko maporini mkinasa kwenye visiki mkachana suruali je?
[emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Huyo mkaka aliyenyoosha kidole, mbona ana maumbile makubwa?
Kaikunjia kushoto hadi ring limeonekana.
Akina kaka mjisitiri kwa kuvaa boxer au chupi.
Huko maporini mkinasa kwenye visiki mkachana suruali je?

Duh we dada wewe! Yaani Kuna out of topic, lakini hii yako ni more than that.
 
Huyu dogo asiposhikwa mkono na ndugu zake atakufa maskini rayvann mwenzake tayar ana nyumba, yeye amebaki kumfungulia miradi ya biashara wolper, yaani ayu mwana anibanga sana
Anaendekeza ujinga kwa kulea gumegume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…