Hatimaye Harmonize anunua bonge la kiwanja,akipanga kushusha Ghorofa hapa mjini

Anaejenga Ni Yeye Na Ndio Maana Ameona Anaweza Kulingana Na Pato Lake

- Sasa Wewe Ambaye Hata Hufikirii Kujenga Usijiweke Nafasi Yake Ukaona Huwezi Amma Wewe Ni Yeye
We umejenga?
 
Hivi hawa wasanii wa Wasafi walizaliwa bila Baba .mbona kila sehemu matukio yao mengi wanakuwa na mama zao .Baba zao wako wapi au ni watoto walio zaliwa Baba zao hawajulikan?!!
 
Hapo sasa lkn rayvany baba ake keshafariki
 
Back
Top Bottom