knysna
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 351
- 109
[emoji16] [emoji16] [emoji16]T
Tunammuiha mwandau vakamchekete tena limbende hahahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]T
Tunammuiha mwandau vakamchekete tena limbende hahahaaaa
"mmakonde naye n'tu?"....acha wolper amtumie.Huyu dogo asiposhikwa mkono na ndugu zake atakufa maskini rayvann mwenzake tayar ana nyumba, yeye amebaki kumfungulia miradi ya biashara wolper, yaani ayu mwana anibanga sana
Wamakonde kiuno.ndiyo fani,musidhani wadada wanafuata ela tu."mmakonde naye n'tu?"....acha wolper amtumie.
chezeya mademu wa kichaga weye.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
unakimbia nini?[emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
sie wengine tunaperuzi humu kufanya utafiti tu.Duh we dada wewe! Yaani Kuna out of topic, lakini hii yako ni more than that.
Una macho makali madame! yooooooooote ya kuonwa macho yako yakakupeleka pale!Huyo mkaka aliyenyoosha kidole, mbona ana maumbile makubwa?
Kaikunjia kushoto hadi ring limeonekana.
Akina kaka mjisitiri kwa kuvaa boxer au chupi.
Huko maporini mkinasa kwenye visiki mkachana suruali je?
Fanyaa mpngo wa kapichaa ka mjengo ka rayvanHuyu dogo asiposhikwa mkono na ndugu zake atakufa maskini rayvann mwenzake tayar ana nyumba, yeye amebaki kumfungulia miradi ya biashara wolper, yaani ayu mwana anibanga sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamakonde kiuno.ndiyo fani,musidhani wadada wanafuata ela tu.
KanunuaIle nyumba rayvanny kanunua au kapanga mkuu ?
Ungekuwa wewe ungekataa?Ray
Rayvanny hana nyumba amepanga km harmonize.. Dogo harmo amepanga kunduchi.
Sema Dogo alizingua sana kwenda kudate na wolper..binafsi nilimshusha sana..sijui ushamba
Maneno makali lakini ndo ukweli wenyewe.... Maiti inafikia kwa jiraniHawa mm nawasubir tu wakifa ndio unajua maisha yao halis
Anaejenga Ni Yeye Na Ndio Maana Ameona Anaweza Kulingana Na Pato LakeAkijenga hyo nyumba mi natembea uchi toka mbagala hdi posta then najinyonga hadharani kariakoo