davie dee
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 934
- 1,213
We umejenga?Anaejenga Ni Yeye Na Ndio Maana Ameona Anaweza Kulingana Na Pato Lake
- Sasa Wewe Ambaye Hata Hufikirii Kujenga Usijiweke Nafasi Yake Ukaona Huwezi Amma Wewe Ni Yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umejenga?Anaejenga Ni Yeye Na Ndio Maana Ameona Anaweza Kulingana Na Pato Lake
- Sasa Wewe Ambaye Hata Hufikirii Kujenga Usijiweke Nafasi Yake Ukaona Huwezi Amma Wewe Ni Yeye
Mbna maneno mengi mkuu au harmonize ni nduguyo weka picha nione hyo nyumba yako ya mbavu za mbwaUnaulizia Madevu Uarabuni Au Nyumbu Ufipa ?
KanunuaIle nyumba rayvanny kanunua au kapanga mkuu ?
Hapo sasa lkn rayvany baba ake keshafarikiHivi hawa wasanii wa Wasafi walizaliwa bila Baba .mbona kila sehemu matukio yao mengi wanakuwa na mama zao .Baba zao wako wapi au ni watoto walio zaliwa Baba zao hawajulikan?!!
DuuuUnaulizia Madevu Uarabuni Au Nyumbu Ufipa ?
Juzi tu hapa na kujenga ghorofa?au ana kazi nyingine?tupo town kitambo tunatafuta pesa tunazijua jamani
Hahaaaaa kibantu bwana,Yaani mpaka sungu inangupweteka muchi mngung'u nwangu apite kunalisweka kwanga nchaga, bora akipe msumbiji akavatware vana va chireno