Hatimaye Harmonize anunua bonge la kiwanja,akipanga kushusha Ghorofa hapa mjini

Huyu dogo asiposhikwa mkono na ndugu zake atakufa maskini rayvann mwenzake tayar ana nyumba, yeye amebaki kumfungulia miradi ya biashara wolper, yaani ayu mwana anibanga sana
"mmakonde naye n'tu?"....acha wolper amtumie.

chezeya mademu wa kichaga weye.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
"mmakonde naye n'tu?"....acha wolper amtumie.

chezeya mademu wa kichaga weye.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Wamakonde kiuno.ndiyo fani,musidhani wadada wanafuata ela tu.
 
Huyo mkaka aliyenyoosha kidole, mbona ana maumbile makubwa?
Kaikunjia kushoto hadi ring limeonekana.
Akina kaka mjisitiri kwa kuvaa boxer au chupi.
Huko maporini mkinasa kwenye visiki mkachana suruali je?
Una macho makali madame! yooooooooote ya kuonwa macho yako yakakupeleka pale!
 
Huyu dogo asiposhikwa mkono na ndugu zake atakufa maskini rayvann mwenzake tayar ana nyumba, yeye amebaki kumfungulia miradi ya biashara wolper, yaani ayu mwana anibanga sana
Fanyaa mpngo wa kapichaa ka mjengo ka rayvan
 
Ray

Rayvanny hana nyumba amepanga km harmonize.. Dogo harmo amepanga kunduchi.
Sema Dogo alizingua sana kwenda kudate na wolper..binafsi nilimshusha sana..sijui ushamba
Ungekuwa wewe ungekataa?
 
Akijenga hyo nyumba mi natembea uchi toka mbagala hdi posta then najinyonga hadharani kariakoo
 
Afuatilie kwanza kuhusu hicho kiwanja. Asije akapigwa changa la macho!! Kanjanja wengi
 
Akijenga hyo nyumba mi natembea uchi toka mbagala hdi posta then najinyonga hadharani kariakoo
Anaejenga Ni Yeye Na Ndio Maana Ameona Anaweza Kulingana Na Pato Lake

- Sasa Wewe Ambaye Hata Hufikirii Kujenga Usijiweke Nafasi Yake Ukaona Huwezi Amma Wewe Ni Yeye
 
Afuatilie kwanza kuhusu hicho kiwanja. Asije akapigwa changa la macho!! Kanjanja wengi
Kuna Dalali Wao Huwa Wanamtumia, Anaitwa Dalali Mwanamke Anaonekana Kama Ni Mzoefu Na Mwaminifu
 
Biso Na biso ngai Na soso!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…