Uwanja upo kwenye matengenezo umezuiwa kutumika, mbona unauliza maswali kama mtu mgeni na mpira wa miguu wa Tanzania? Hivi lini umeona Yanga waka opt kuutumia uwanja wa Azam complex huku uwanja wa Mkapa upo huru kutumika? Yanga mechi zao za nyumbani hupenda kutumia uwanja wa Mkapa, ukiona wameenda Azam complex ujue uwanja wa Mkapa wamezuiwa kuutumia. Uwe unafikiria kwanza.
Zanzibar hawana haja ya kutengeneza Simba yao na Yanga yao bali Simba na Yanga zipo kwaajili ya kupendwa na kila mtu ulimwenguni kote na ndio soka lilivyo. Hivyo sio dhambi wala kosa umati wa wazanzibar wakaipenda Simba au Yanga na hivyo hivyo sio dhambi wala kosa umati wa waafrika kusini kuipenda Yanga au Simba. Timu za mpira mtaji wao ni mashabiki haijalishi wanatokea Israeli au Palestina.