Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

Uzuri unaonifanya niwakumbuke hesgoal sio app ambayo huenda ikajaza simu yako,au kuchukua nafasi kubwa, matangazo machache,unachagua quality unayotaka kuangalia iwe ni HD au kawaida, unachagua mpaka lugha. Yaan wajamaa walikuwa complete kabisa. Watakumbukwa na wengi sana
 
Acheni kupenda slope. Wacha wafungiwe.
Huna uwezo wa kumudu gharama ni kuipotezea starehe husika maana sio basic need. Starehe gharama. Piracy sio dili.
Slope kivipi mkuu,kwani hatutumii data?
 
Nimeijua website hii toka 2020,nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote.
Hata nikiwa kwenye gari,nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu.
Kombe la dunia sijakosa mchezo hata mmoja hata nikiwa kazini natega tu simu yangu nachek game live tena HD kabisa.
Nasikitika kuona tangazo hili, roho inaniuma sana.

View attachment 2443849
Domain yao imefungwa sababu ya hati miliki, kuonyesha maudhui ambayo sio mali yao bila kibali. TUTAWAKUMBUKA SANA.
Tumia tor browser
 
Kuna watu wanahisi kuwa tofauti ndo unakuwa smart kumbe ni ujinga tu. Yaani yawezekana hata hajui rate ya ulaji wa MB kwenye HD ya hiyo site ila anaropoka tu "slope".
Usichukulie kila kitu serious.
Utaumwa kichwa.
 
Jamaa hajitambui kabisa nimemdharau bure.
Acha kupanic wewe
Tumia njia legit kuburudika.
Lipia subscription fee kwa wahusika upate access u-stream live na kuenjoy benefits za nyongeza.
Janjanjaja ndio ishaondolewa wanafanya infringement hakimiliki za watu. Watu wanawekeza pesa wengine wanaleta ujanjajanja.
Kwahiyo kwa sababu unatumia MBs haushiriki kwenye piracy?
 
Back
Top Bottom